Ommy Dimpoz karekodiwa maneno yake ya mwisho kuhusu Nay wa Mitego …(+Audio)
Staa wa Bongo fleva Ommy Dimpoz alionyesha kukwazika baada ya kusikia amechanwa kwenye moja ya mstari wa wimbo mpya wa Nay wa Mitego 'Shika adabu yako, hali hiyo ikampelekea kuandika…
Swali ambalo Nuh Mziwanda hataki kuulizwa tena na mwandishi yoyote wa habari
Kwa mnaofatilia habari za mastaa wa bongo ninayo hii ya Nuh Mziwanda kwenye post, tazama hii video hapa chini kupata yote aliyoyasema. https://www.youtube.com/watch?v=xGRWoTSoj1w Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Zisikupite habari kubwa za magazeti ya leo Feb 11 zikisomwa redioni kwenye Powerbreakfast
Tayari nimezikusanya hot stories zilizopewa za magazeti ya leo yakisomwa kupitia Powerbreakfast ya Clouds fm leo feb 11 2016. Kubwa zilizopewa nafasi ni pamoja na Wafanyabiashara wanne wa Tanzania wameuawa kwa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 11 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 11 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Mpya ya Rais wa Chad madarakani na nyingine kuhusu bei ya kupanga kwenye Mall mpya Mwanza (+Audio)
Hizi ni habari mbili zilizoingia kwenye Amplifaya ya Clouds fm, Feb 10 2016 https://www.youtube.com/watch?v=xkteGsxZjCw Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO…
VIDEO:Rais Magufuli kashtukiza tena kwa ziara ya ghafla Muhimbili, kakutana na haya…
Febr 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alitua tena kwa kushtukiza katika Hospitali ya Muhimbili, Dar na kukuta baadhi ya wagonjwa wakilala hadi wanne kwenye kitanda kimoja. Kwenye hii video…
Mwinyi Kazimoto wa Simba afikishwa kituo cha polisi Shinyanga, kisa mwandishi wa habari
February 10 stori kutoka Shinyanga walikoweka kambi timu ya wekundu wa Msimbazi Simba wakisubiri mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Stand United, zimeandikwa stori mpya kuhusu kiungo…
Hili ndio swali ambalo kocha wa Yanga Hans van der Pluijm hataki kuulizwa kuhusu Niyonzima (+Audio)
Klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo inayofundishwa na kocha muholanzi Hans van der Pluijm, ilitangaza kumsamehe kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima, baada ya awali kutangaza…
VIDEO: Maamuzi mapya baada ya moshi wa feri kuendelea kuingia Ikulu
Moja ya ripoti zilizogusa kwenye vichwa vya habari magazetini ilikuwa ishu ya kubadilishwa kwa majiko yanayotumiwa na wauza samaki eneo la Ferry Dar, majiko yanayotumika sasa yameonekana ni moja ya…
Kwa mara ya kwanza Feb 13 Mbwana Samatta ataonekana akicheza mechi uwanja huu Ubelgiji (+Pichaz)
Bado furaha ya watanzania kumuona Mbwana Samatta akicheza soka Ulaya ipo moyoni mwao, baada ya kumuona kwa mara ya kwanza akiichezea klabu yake ya KRC Genk kwa dakika 17 February…