Maneno ya Ommy Dimpoz baada ya kusikia mdundo mpya wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ ambao umemchana
Siku moja baada ya Staa wa bongo fleva Nay wa Mitego kuiachia ngoma yake ya 'Shika adabu yako' ambayo ndani yake kawazungumzia baadhi ya wasanii akiwemo Ommy Dimpoz, sasa leo…
MdundoMPYA: Nay wa Mitego anakualika kuisikiliza hii ‘Shika adabu yako’
Baada ya kutamba tena na 'Nyumbani kwetu' , Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego tayari amekusogezea tena mdundo mpya unaitwa 'Shika adabu yako' ambao unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza hii link ya blue…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 10 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 10 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Licha ya The Sun kuripoti Man United wanampango na kocha wa Spurs, Mourinho kawaambia hivi rafiki zake
Wakati gazeti la The Sun Sport la February 9 likiripoti kuwa klabu ya Man United imehamishia nguvu zake kwa kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino, February 10 magazeti ya Mirror,…
Eti sio Jose Mourinho tena anayetua Man United !!! Feb 9 Man United wanatajwa kuwa na mipango na kocha huyu …
Kwa zaidi ya wiki nne sasa klabu ya Man United inaripotiwa kuwa na mpango wa kutaka kumfukuza kazi kocha wa timu hiyo muholanzi Louis van Gaal kwa kile kinachodaiwa kuwa…
Exclusive: Diamond anawafata Alicia Keys, Swizz Beatz na Neyo Marekani… Rich Mavoko je?
Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive na OnAIRwithMillardAyo na kuweka wazi kwamba atasafiri hivi karibuni kuelekea Marekani kukamilisha video ya wimbo wake na Neyo, pia kukutana na producer maarufu Swizz Beatz na…
Hili ndio gari la kifahari duniani, kuna tetesi kuwa Lionel Messi analinunua (+Pichaz)
February 9 jina la Lionel Messi linagonga vichwa vya habari za michezo kwa awamu mbili sasa, baada ya awali kuripotiwa kuwa anafanyiwa uchunguzi wa tatizo la figo, good news iliyonifikia kutoka…
Ripoti mpya ya Top 10 ya majiji yaliyotembelewa zaidi duniani
Karibu kwenye TOP 10 ya miji iliyotembelewa zaidi duniani au kupata Wageni wengi kutoka nje ya nchi, pamoja na umaarufu wa Afrika, hakuna mji hata mmoja wa Afrika ambao umesogelea…
TOP 5 ya vituko vya mashabiki wa soka, wengine wamevua nguo na kuingia uwanjani (+Video)
Mtu wangu wa nguvu unakumbuka vituko vya mashabiki wa soka kuingia uwanjani wakati wa mechi, Tanzania iliwahi kutokea mwaka 2010 kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2010 nchini Afrika Kusini,…
Jaji Mkuu wa Tanzania kayasema haya baada ya kupokea mabilioni ya Rais Magufuli
Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya…