Swali hili limemfanya Pep Guardiola ajibu kwa kujifananisha na mwanamke (+Video)
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani ambaye mwishoni mwa msimu huu atakuwa kocha wa klabu ya Man City ya Uingereza Pep Guardiola, February karudi tena kwenye headlines…
Dakika 36 za Waziri Mkuu Majaliwa, sentensi ya ‘kutumbua majipu’ ilivyowafurahisha wabunge
Feb 5 2016 Bunge la 11 mkutano wa pili liliendelea Dodoma na Hotuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndio ikahitimisha kwa kutoa kikao hicho. Moja ya kauli zilizowavutia wabunge wengi…
Isikupite hii ya vyama vya upinzani Bungeni vilivyotangaza baraza lake la Mawaziri Kivuli…(+Audio)
Leo Feb 5 2016 Bunge la 11 kikao cha 9 liliendelea bungeni Dodoma, moja ya tukio lililojumuishwa ilikuwa ni kulitambua baraza la Mawaziri vivuli linaloundwa na vyama vya upinzania, hapa…
Feb 5 ni Birthday ya Tevez, Neymar, Ronaldo na Niyonzima, jikumbushe kwa kuangalia video za magoli yao bora
Mtu wangu wa nguvu February 5 ni siku ya kumbukumbu kwa mastaa kadhaa wa soka duniani, kama hufahamu au umezaliwa siku kama ya leo February 5, basi utakuwa unasherehekea siku…
Kutana na Gabe Adams kijana ambaye hana miguu na mikono lakini ana uwezo wa kudansi (+Video)
February 5 2016 nakusogezea stori ya Gabe Adams kijana mwenye umri wa miaka 17 aliyezaliwa na ulemavu wa mikono na miguu mwenye uwezo mkubwa wa kucheza muziki, mtu wangu wa nguvu nakusogezea…
Majibu ya Baba yake Diamond alipohojiwa na Soudy Brown nyumbani kwake.
Kwenye U Heard leo Soudy Brown yuko na Baba yake Diamond Platnumz Abdul Juma akielezea mkasa mzima uliosababisha akaikimbia familia yake kipindi wanaishi wote. Baada ya kuulizwa kwanini aliikimbia familia Baba Dimond…
Rich Mavoko kayaandika haya maneno 65 kisha akamalizia ‘Tusidharauliane’
Ukiwa nnje inawezekana unaweza ona mchezo ni rahisi ila ukiwa ndani ya mchezo utajua ugumu wake kiukweli hatulali kwajili ya hii kitu natamani hata wewe unaetukanaga watu ungejua ugumu wa…
VIDEO: Party ya Alikiba alivyoileta kwa mara ya kwanza video yake mpya ya ‘Lupela’
Alikiba ni mwimbaji staa wa bongofleva ambaye kwa siku kadhaa zilizopita amewafanya Watanzania wawe juujuu kusikilizia single yake mpya ya 'Lupela' ambayo rasmi ameiachia jana usiku February 4 2016 kwenye party…
Picha 25 kwenye uzinduzi wa ‘Lupela’ ya AliKiba
Feb 4 2016 Alikiba aliungana na watu wake katika uzinduzi wa ngoma yake mpya 'Lupela' kwenye Hotel ya Slipway Dar es salaam. Hapa nimekusogezea baadhi ya matukio katika picha Unataka kutumiwa MSG…
Video 8 za bongofleva ulizotakiwa kuwa umeshazitazama mpaka sasa hivi.. (zilizotoka kuanzia Jan 2016)
Bongofleva imeteka watu wengi kitambo... imekua kazi na watu wako serious kufanya kazi ili kusogea zaidi, sasa zifuatazo ni video 7 za wasanii wa bongofleva ambazo zimetoka katika kipindi cha kuanzia…