Kinachoendelea India kuhusu stori ya msichana wa kitanzania aliyepigwa na kutembezwa akiwa mtupu
India ni moja kati ya nchi ambazo vijana wengi wa kitanzania hupendelea kupelekwa na wazazi wao kwenda kusoma, siku kadhaa nyuma ziliingia headlines kuhusu stori za kibaguzi zinazoendelea katika nchi…
Rais Magufuli alivyozindua mwaka mpya wa Mahakama Dar…(+Pichaz)
Feb 4 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya uzinduzi wa mwaka mpya wa Mahakama katika siku ya sheria Duniani, tukio lilifanyika Dar es salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka…
Mbeya City wafanikiwa kuondoka na point tatu Dar dhidi ya JKT Ruvu
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 4, klabu ya JKT Ruvu ambayo inatumia uwanja wa Karume kama uwanja wake wa nyumbani iliikaribisha klabu ya wagonga nyundo wa…
Maneno ya Batuli kuhusu kudhulumiwa na msanii Ray… Stori imemfikia Soudy Brown kwenye U Heard
Leo kwenye U Heard ya Clouds Fm, Soudy Brown amefanya mahojiano na Msanii wa Bongo Movie Batuli kuhusu tuhuma za kufanyiwa dhuluma na msanii mwenzake Ray kwenye moja ya filamu…
Nakitia Yona ‘Nilivyoolewa na niliedhani namjua kumbe simjui’ #OnAIRwithMillardAyo
Nakitia Yona ni Mwanamke Mtanzania ambaye aliolewa na kwenda kuishi nchini Marekani, sio msanii wala mwigizaji lakini watu mbalimbali kwenye nchi za Marekani, Uingereza na kwengine wameanza kumjua baada ya…
Mume amuua mke huku mtoto akishuhudia tukio zima Dar…(Hekaheka +Audio)
Hekaheka ya leo imekutana na tukio la mauaji lililotokea Mtoni kwa Azizi Ali, Dar. Stori ilianza baada ugomvi baina ya Marehemu na wifi yake kufuatia kuazimana nguo na baadae kupishana…
Dayna Nyange anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya ‘angejua’
Dayna Nyange ni kipaji kingine tulichonacho kwenye muziki wa bongofleva Tanzania, 2016 ameianzisha kwa kutusogezea hii single yake ya kwanza kwa mwaka huu inaitwa 'angejua' na video yake mpya ndio…
Matukio 9 ya kusikitisha katika soka yaliowahi kuchukua uhai wa wanasoka uwanjani (+Video)
Soka ni mchezo unaopendwa sana duniani, lakini pia ni moja kati ya michezo yenye changamoto kubwa sana katika kuucheza, mara nyingi ili uweze kucheza vizuri ni lazima uwe tayari kimaandalizi…
Huyu jamaa ametisha kwa asilimia ngapi kwenye hii post kuhusu Watanzania wanapopendwa?
Ni February, mwezi wa Valentine.. mwezi wa Wapendanao mpaka kilele chake tarehe 14 ambapo kila mmoja anaruhusiwa kuongea ya Baby Number one wake ndio maana nimekukutanisha na Nasry uone kama…
Jamaa wametegesha video camera mahali alafu wanafata Warembo kuomba wawe wapenzi… majibu yake sasa
Mwezi February ni mwezi wa Wapendanao na kilele chake ni Fabruary 14 ambapo kila mmoja ana mbinu zake kwa Baby number one wake na yeyote mwenye love na yeye awe…