Baba yake Neymar kataja kuwa imemfikia ofa ya pound milioni 144.4 kwa ajili ya Neymar, The Sun wataja klabu inayomtaka
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar, bado yupo kwenye headlines kuhusiana na suala lake la usajili kutoka Santos kujiunga na klabu ya FC…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI ya Tanzania Feb 4 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 4 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Straight kutoka Bungeni… maumivu ya Kipindupindu toka 2015 pia madeni ya Walimu
Febr 03 2016 Bunge la 11 liliendelea Dodoma na hapa nakusogezea baadhi ya mambo yaliyochukua headline, baadhi ni pamoja na ishu ya Walimu kutopata malipo yao kwa wakati, ukibonyeza play kwenye…
Ilala walivyowakazia waosha magari na wengine wanaochafua mji… milioni 10 zimepatikana
Unaambiwa manispaa ya Ilala Dar es salaam ilianzisha utaratibu wa kuwakamata wote wanaozingua na kuchafua mazingira wakiwemo waosha magari ovyo na watupataka ambao wamepigwa faini kwa pamoja inayofikia MILIONI 10. https://www.youtube.com/watch?v=KnJCRliwLMQ&feature=youtu.be&hd=1…
Zitto Kabwe kafunguka ya moyoni kuhusu Freeman Mbowe, chuki na udikteta vimehusishwa…(+Audio)
Kulikuwa na headline mbalimbali zikielezea kutokuwa na mahusiano mazuri kati Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo nakukutanisha na haya maneno kutoka kwa Zitto akifunguka ya…
Kwanini kocha Mayanja wa Simba hampi nafasi kikosini Said Ndemla? (+Video)
February 3 kocha wa Simba Jackson Mayanja amekutana na swali la waaandishi wa habari juu ya kiungo wa Simba anayeichezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Said Hamisi Ndemla kutopewa…
VIDEO: CHADEMA waomba kumuona Rais Magufuli Ikulu..
Febr 3 2016 Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) lilikutana na Waandishi wa habari na kuweka wazi mikakati yao mipya baada ya Zuio la kuandamana lililotolewa na Jeshi la Polisi nchini.…
Jamaa hana mikono lakini ana kipaji, jionee uwezo wake wa kuchora pichaz (+Video)
Mungu aliumba dunia na maajabu yake Mariusz Kedzierski ni mlemavu wa mikono aliyezaliwa na kipaji cha uchoraji, licha ya ulemavu aliokuwa nao, Mariusz Kedzierski alianza kuipenda sanaa ya uchoraji tangu akiwa na umri…
Ni nazo picha za ajali ya Daladala ya Airport Buhongwa na Lori ya kokoto Mwanza…
Ripoti iliyonifikia muda huu kutokea Mwanza ni hii ya ajali ya Daladala ya abiria inayofanya safari zake Airport Buhongwa na Lori la kubeba kokoto, naambiwa Dereva wa Daladala hali yake…