Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 31 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 31 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Huu ndio ushindi walioupata KRC Genk ya Mbwana Samatta January 30
Siku moja baada ya klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji imsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta, January…
Video ya magoli ya Simba Vs African Sports January 30 2016, Full Time 4-0
Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguko wa pili umeendelea leo January 30 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya African Sports ya Tanga kucheza mchezo wa…
Mazuri ya kujionea Hifadhi ya kisiwani Geita kwenye picha 10
Tanzania tumebarikiwa wanyama wa kutosha mtu wangu na kama unapata muda sio mbaya kwenda na familia yako kuenjoy kwenye mbuga zetu, kwa kuwa kazi yangu nikukusogezea kila ninachokipata acha uipate…
Good News kwa mashabiki wa Chelsea, huyu ndio staa waliomsajili January 30 (+Pichaz)
Klabu ya Chelsea ya Uingereza January 30 imeingia kwenye headlines za usajili wa beki wa kati, baada ya dalili za kumpata beki wa Everton John Stones kuwa ndogo, kwani wamewahi…
Ni kweli Alikiba kamuomba msamaha Ruby kwa kutumia jina lake kwa Mbwa..?
Masaa machache yamepita tangu msanii wa Bongo fleva Ruby kuweka post yenye malalamiko kuhusu star wa Bongo Alikiba kutumia jina la Ruby kwa mbwa wake, hapa nakusogezea post yake nyingine…
VIDEO: Maamuzi ya Rais Magufuli kwa Mkuu wa Majeshi Mwamunyange
Rais John Pombe Magufuli amemwongeza muda wa mwaka mmoja zaidi Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange kuendelea kuongoza Jeshi. Full stori ipo kwenye hii video hapa chini https://www.youtube.com/watch?v=_Ep0lazmRKE&feature=youtu.be&hd=1 Unataka kutumiwa…
Simba waendeleza ubabe mbele ya African Sports, matokeo ya mechi za Ligi Kuu Jan 30 (+Pichaz)
Baada ya kusimama Ligi Kuu kwa wiki moja ili kupisha mechi za Kombe la FA, Ligi Kuu Tanzania bara mzunguuko wa pili umeanza kwa vilabu vya Ligi Kuu kurudi uwanjani…
Ujumbe wa Ruby kwa Alikiba baada ya kusikia Alikiba ana Mbwa anaitwa Ruby
Mrembo wa kwanza kushinda shindano la Serengeti Super Nyota Diva Ruby January 30 ameingia kwenye headlines baada ya kutopendezwa kwa kauli ya staa wa Bongo Fleva Alikiba, kauli ambayo anaamini…
Utajisikiaje siku unajikuta unasafiri pekeyako kwenye ndege kubwa? Imemkuta jamaa Ufilipino..
Inaweza kutokea unasafiri kwenye gari hivi labda toka Dar mpaka Morogoro kwenye basi la abiria pekeyako, unaweza kujifariji kwa kuchekicheki nje mazingira, ukachezea simu yako au ukaendelea zako na safari…