Waziri Nape kayazungumza haya baada ya vurugu za Bungeni…(+AUDIO)
January 27 2016 vurugu ziliibuka katika kikao cha Bunge kilichokuwa kikiendelea Dodoma, hapa Waziri Nape Nnauye anayajibu maswali ya waandishi wa habari. https://www.youtube.com/watch?v=E9RPvRekDhA Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka…
Hizi ndio video mpya kali zilizotambulishwa leo Trace Tv
Mtu wangu wa nguvu najua huwa una enjoy pale unapoangalia Tv na kuona zikitambulishwa video kali mpya katika Tv yako kwa mara ya kwanza, Usiku wa January 27 Trace Tv…
Wema Sepetu ameandika na kufuta ila mwishoni kaiachia hii kuhusu Idris Sultan
Bado kuna headlines nyingi zinaandikwa kila kukicha kuhusu mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Movie Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuwa wapo mapenzini, licha ya kuwa hawakuwa…
Kama Ronaldo, Hazard, Diego Costa na Mertesacker wangekuwa wanafunzi, hizi ndio zingekuwa tabia zao shuleni
Wakati mwingine ni kawaida muonekano wa mtu kuweza kukupa picha ya namna tabia yake ilivyo, hii imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kuhisi mtu huyu kuwa na tabia fulani kutokana na…
Alichokisema Spika mstaafu Pius Msekwa baada ya kutokea vurugu Bungeni.. (+Audio)
Mzee Pius Msekwa ni Spika wa Bunge mstaafu ambaye leo January 27 2016 alialikwa kwenye kipindi cha Jahazi, alipata nafasi ya kuzungumzia pia hali ya kilichotokea Bungeni pamoja na uzoefu…
Huu ndio msimamo wa Simba, baada ya TFF kuwaruhusu Azam FC kwenda Zambia kucheza mechi za kirafiki …
Siku kadhaa zimepita toka Azam FC iweke wazi kuwa wako katika maandalizi ya kuelekea Zambia kuweka kambi ya maandalizi ya mechi zao za kimataifa kwa kucheza mechi kadhaa za kirafiki…
Pale ambapo Bunge lilisimama, Askari wakalazimika kuingia ndani ya Bunge Dodoma.. (+Picha)
January 27 2016 kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma, yakaanza maswali na majibu kwa Mawaziri wa Serikali... baadae Waziri Nape Nnauye akatangaza kwamba kumekuwa na gharama kubwa sana TBC1 kurusha Live…
Picha 15 kujionea meli kubwa ya vitabu duniani iliyotua Dar
Jan 26 2016 meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti ilitua Dar, na tayari ripota wa millardayo.com ameyakusanya matukio katika picha…
Bibi na miaka yake 112 lakini idadi ya sigara anazovuta kwa siku ni stori..(+Video)
Hii imetokea huko India, Batuli Lamichhane mwanamke mwenye miaka 112 amekua akivuta sigara 30 kwa siku kwa miaka 95 sasa. Mwanamke huyo alianza tabia hiyo akiwa na miaka 17 na hakuweza…
Mengine yameibuka ya Range Rover ya Wema Sepetu, hapa yamemfikia Soudy Brown.. U Heard (+Audio)
Moja ya stori exclusive kabisa ambazo niliwahi kuzisogeza hapahapa kwenye millardayo.com ilikuwa interview ya Martin Kadinda kuhusu gari ya Wema Sepetu.. kwenye majibu ya Martin alisema gari ya Wema yuko…