Rekodi nyingine kwa Uingereza kwenye mchezo wa tennis..
Uingereza imeingia kwenye rekodi nyingine tangu mwaka 1977 baada ya wachezaji wake wawili wa mchezo wa tennis kufanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali. Wachezaji hao Johanna Kontana na Andy Murray…
Mwendelezo wa Hekaheka ya mwanamke aliyehisiwa ni msukule Dar, leo kapatikana mama yake.. (+Audio)
Mwanamke mmoja alikutwa ndani ya shimo Dar, picha zake zimeenea mitandaoni na wengine walihusisha tukio hilo na masuala ya ushirikina wakahisi aliwekwa msukule. Jana walipatikana baadhi ya ndugu wakidai mama…
Updates za Bungeni Dodoma > hakuna Live TBC1? umeme chini ya ardhi? Malipo ya waliohama CCM?
Haya ni mambo matatu, sehemu ya makubwa yaliyoguswa kwenye mjadala wa Bungeni Dodoma... kama umekuwa mbali na Bunge na hujayanasa haya nimeona nikusogezee kwa ufupi kila kitu. Kwanza ni kuhusu malipo…
Sean Kingston kaondoa ukimya na kuisogeza kwako ‘One Away’..Video
Baada ya ukimya rapper wa Marekani Sean Kingston karudi tena kwenye headlines za burudani na kuidondosha Video yake mpya 'One Away'. Karibu uitazame hapa mtu wangu.... https://www.youtube.com/watch?v=lvVnmuvQ1VY Unataka kutumiwa…
Ukweli wa Diamond Platnumz kuhusu mwanae Tiffah, Ommy Dimpoz na kichurachura cha wanajeshi.. (+Video)
Kama hizi stori hujakutana nazo nimeona nizikusanye na kukuletea kwa pamoja mtu wa nguvu, zote zimegusa exclusive interviews na mastaa wa Bongo kama Msami, Diamond Platnumz, Nahreel, Dully Sykes na…
Maiti ya Mtz India, Chenge na Escrow, Mafisadi Papa Kizimbani, Bulaya apingwa…MAGAZETINI
MTANZANIA Bunge limepitisha wenyeviti wake watatu, huku wabunge wa upinzani wakihoji kuhusu uadilifu wa Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM). Wabunge wengine waliopitishwa kuwa wenyeviti ni wabunge wa viti…
Uchambuzi wa stori kubwa magazetini >> ya Bungeni Dom? bomoabomoa? waliotumbuliwa NIDA?
Mbunge Andrew Chenge achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge, mwili wa kijana mmoja wazuiwa siku 27 India baada ya ndugu kushindwa kulipia gharama za matibabu yake, siri ya waliotumbuliwa Mamlaka ya…
Hadi kufikia August 2014, hii ndio ilikuwa TOP 10 ya style mbaya za nywele kwa mastaa wa soka …
Mtu wangu wa nguvu najua imekuwa kawaida kwa kila staa kuweka style ya nywele katika muonekano tofauti tofauti, hususani katika muonekano ambao sio wa kawaida, yaani haujazoeleka machoni mwa watu.…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 27 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 27 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Hii ndio post ya Alikiba iliyomfanya Wema kupata pongezi za kuhisiwa mjamzito (+Picha)…
Stori zote kubwa mtu wangu wa nguvu unaweza kuzipata hapa hapa kwenye millardayo.com iwe usiku au mchana, lakini post za mitandao ya kijamii zenye uzito pia huwa nazisogeza kwako mtu…