Post ya mtoto wa Sugu iliyoingia kwenye headlines na kupata comment nyingi instagram
Mtu wangu wa nguvu katika mitandao ya kijamii kumekuwa kukifanya watu kuingia katika headlines kila kukicha kwa baadhi ya mastaa. Instagram ndio mtandao wa kijamii ambao huenda ukawa unaongoza kwa…
Hawa ndio Watanzania waliokimbiza kwenye ngoma kali za Africa kupitia Trace Tv wiki hii..
Tayari nimezikusanya ngoma kali 10 za Africa zilizotambulishwa kama Africa Fresh kupitia kituo cha Tv cha Urafansa TRACE TV leo Jan 26 2016, katika chart hii ni Watanzania wawili pekee…
Baada ya kutemwa na kocha wa Spurs hii ndio klabu aliyojiunga nayo Emmanuel Adebayor …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kuvichezea vilabu vya Arsenal, Man City na baadae Tottenham Hotspurs Emmanuel Adebayor alikuwa hana timu kwa miezi kadhaa sasa, baada ya kocha wa klabu…
Simba wanamuhitaji Kim Poulsen? vipi kuhusu fedha za Okwi wamelipwa, haya ndio majibu (+Audio)
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wake wa idara ya habari na mawasiliano Haji Manara, wametoa majibu ya kuhusishwa na mipango ya kutaka kumpa ajira aliyekuwa kocha Taifa…
TOP 3 Stories: Pique katwaa tuzo mbele ya Messi, Real Madrid wameanza mazungumzo na Neymar, FC Barcelona wamewaharibia Arsenal …
Mtu wangu wa nguvu bado nakuletea headlines za stori kubwa za siku katika michezo. Leo January 26 naomba nikusogezee TOP 3 stories kubwa. Real Madrid na Atletico Madrid wameshindwa kuibuka na…
Maamuzi ya Mahakama Kuu Dar kuhusu bomoabomoa bonde la Msimbazi yametolewa leo..
Bomoabomoa ilianza mwisho wa mwaka 2015 kwenye maeneo mbalimbali ambayo yalitajwa kwamba ni mabondeni, maeneo ya wazi na mengine ambayo kisheria hayakutakiwa kuwa na makazi ya watu. Zoezi lilisimama kwa…
Hiki kiatu kimetengenezwa maalum kwa staa huyu wa Barcelona…+Video
Staa wa Barcelona Neymar Jr ameendelea kujichukulia umaarufu, mbali ya ushiriki wake kwenye tuzo za Ballon d’Or sasa ni zamu ya viatu maalum kwa ajili yake. Kampuni ya vifaa vya michezo ya…
Hili ndio dau lililompeleka Ramires klabu ya China…
Kiungo wa Chelsea Ramires amefunga mjadala baada ya kukubali kwenda kuichezea klabu ya Jiangsu Suning iliyopo China. Ramires mwenye miaka 28 ambaye pia anaichezea timu ya Taifa ya Brazil alishawahi kuichezea…
Tyga katusogezea hii nyingine mpya ‘I smile, I Cry’..Video
Rapper Tyga amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kudondosha mdundo wake mpya 'I Smile, I Cry'. Karibu uitazame hapa mtu wangu.. https://www.youtube.com/watch?v=v-OI_HGQ06A Unataka kutumiwa MSG za habari zote…
Weusi kwenye stage pembeni kampani ya Waziri Nape Nnauye alivyokamata gitaa… (+Video)
Siku chache zilizopita kulikuwa na party ya timu nzima ya Clouds Media Group pamoja na waalikwa mbalimbali pale Escape One, Mikocheni Dar es Salaam. Ilikuwa ni party ya kusherehekea hatua…