Pita na hapa kama unataka kununua Furniture na vitu vya ofisi Dar es salaam
Wakati wote mtu wako nafurahi kukusogezea vitu ambavyo vinaweza kukusaidia na kukurahisishia... kama leo nimepita Laxspacer Internatinal ambayo ni kampuni ya Auction and Debt collection yenye ofisi zake Temesa Yard Keko Road.…
Zile picha za mwanamke aliyekutwa shimoni hakuwa msukule, ndugu wamesimulia.. (+Audio)
Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule... wengine wakasema ana matatizo ya akili. Hekaheka ya jana radio Clouds FM ilisikika na…
Video ya mwanzo mwisho wa makamuzi ya Navy Kenzo kwenye stage Mbeya..
Ilikuwa party time, watu wa nguvu Mbeya town walienjoy kazi ya nguvu kwenye stage iliyokamatwa na Navy Kenzo... ilikuwa ni uzinduzi wa chimbo jipya kabisa cha kujienjoy maeneo ya Mbeya. Nakupa…
Twiga Albino?, Mwanafunzi wa IFM kwenye kashfa, kesi ya Bulaya, Kafulila?..MAGAZETINI
MTANZANIA Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Mussa Msafiri (23), alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jana akituhumiwa kumwingizia vidole sehemu za siri mtoto (jina limehifadhiwa)…
Picha 10 za siku ya kwanza kutoka ndani ya Bunge la Afrika Mashariki Arusha
Kikao cha Bunge la 11 kimeanza Dodoma leo January 26 2016, kama unafatilia matangazo ya Bunge kupitia TV au redio utakuwa umeshaona tayari kinachoendelea mtu wangu. Lakini naomba nikufikishie nyingine…
Top 10 ya Tweets zilizopewa uzito kwenye Magazeti ya leo January 26 unazisoma pamoja hapa!!
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Serena Williams kwenye hatua nyingine ya ushindi dhidi ya Maria Sharapova..
Nyota wa tennis duniani Serena Williams ameendelea kuonyesha kwamba yeye ndio bora zaidi baada ya kumshinda mpinzani wake Maria Sharapova kwenye michuano ya wazi ya Australia Open. Huu ni ushindi…
Uchambuzi wa stori kubwa Magazetini >>> Magufuli wa Singida? uchambuzi wa Membe? Majipu mengine?.. (+Audio)
Meya wa Kinondoni Dar amesema kwa uchambuzi alioufanya Bernard Membe angefaa ajiunge UKAWA, Kampuni ya IPTL yalionya Bunge kujadili tena suala la ESCROW... Mtoto aliyezaliwa na kilo 7.7 hospitali ya…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 26 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Mwasiti kazitoa sababu zake kwanini hataki kuolewa…(+AUDIO)
Nakukutanisha na mkali wa Bongo fleva Mwasiti ambaye pia ni mmiliki wa hit song ya 'Serebuka' na hapa anayajibu maswali ikiwa ni pamoja na kuelezea baadhi ya mambo usiyoyajua toka…