Mapya ya UDA? Bungeni Dodoma? Machinga wa Dar? Magufuli na majipu TZ? Uchambuzi redioni (+Audio)
Kamati za Bunge zatangazwa, baadhi ya Wabunge machachari waachwa... Mfanyabiashara maarufu wa mabasi ya mikoani adaiwa kumficha mwanamke mmoja kwa zaidi ya mwaka mmoja maeneo ya Mbezi Dar, tukio lahusishwa…
Video: Hospitali ya Muhimbili kuwahudumia wagonjwa wa moyo bure
Hospitali ya taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda wameungana pamoja na kuamua kutoa huduma ya vipimo mbalimbali vya magonjwa ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 22 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 22 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Ni Done Deal !! hapa Davido hapa Sony Music world wide
Wasanii wa Nigeria wamekua wa kwanza kwenye stori kubwa au kuvunja rekodi kadhaa kwenye muziki wanaoufanya ambapo miongoni mwa rekodi walizozivunja ni pamoja na P Square kufanya kolabo na Rick…
Video ya magoli ya mchezo wa Yanga Vs Majimaji FC, Full Time 5-0
January 21 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa vilabu kadhaa kushuka dimbani kumaliza mechi za mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu. Miongoni mwa mchezo uliochezwa January 21 ni mechi…
Haya ndio maamuzi walioamua Chelsea kwa beki wake Papy Djilobodji …
Klabu ya soka ya Chelsea January 21 kupitia katika account yake rasmi ya twitter imetangaza maamuzi yake mapya kwa beki wak wa kimataifa wa Senegal Papy Djilobodji. Chelsea January imeendeleza utamaduni…
Baada ya photo shoot na mrembo, Ronaldo kwenye umahiri wake wa kuchezea mpira akiwa na boxer (+Video)
Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, alifanya photo shoot ya Magazine ya GQ ya mwezi huu, akiwa mrembo ambaye ni mwanamitindo Alessandra Ambrosio,…
Haya ndio mapokezi aliyoyapata Rais Magufuli Arusha….(+Pichaz)
Rais John Pombe Magufuli leo Jan 21 2016 aliwasili Arusha ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ameingia madarakani, Rais anatarajia kuwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa kundi la 57/15 katika chuo cha…
Javier Mascherano wa FC Barcelona kahukumiwa mwaka mmoja jela, kisa ndio hiki …
Siku ya January 21 2016 haiwezi kuwa nzuri kwa kiungo mkabaji na beki wa kati wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Javier Mascherano, ameingia kwenye headlines…
Kero ya Moshi wa samaki kuingia Ikulu itakavyomalizwa na majiko ya gesi…(+Pichaz)
Mwezi Dec 2015 moja ya ripoti zilizogusa kwenye vichwa vya habari magazetini ilikuwa ishu ya kubadilishwa kwa majiko yanayotumiwa na wauza samaki eneo la Ferry Dar, majiko yanayotumika sasa yameonekana…