Licha ya CV kubwa aliyoipata ndani ya Man United, Inter Milan wameamua kuvunja mkataba na Vidic …
January 18 uongozi wa klabu ya Inter Milan ya Italia imetangaza maamuzi mapya iliyofikia kwa beki wa zamani wa Man United aliyejiunga na Inter Milan mwaka 2014 Nemanja Vidic. Inter Milan…
VIDEO: R.I.P kwa boss wa viwanja vya ndege TZ aliyefia Baharini Dsm
Asubuhi ya Jan 19 2016 taarifa zilianza kusambaa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia wakati akiogelea. Kwenye hii video hapa chini kuna ripoti…
Walipofikia Simba na Joseph Kimwaga, baada ya zile stori kuwa kavunja mkataba (+Audio)
Jumamosi ya January 16 mshambuliaji wa Azam FC anayeichezea klabu ya Simba kwa mkopo Joseph Kimwaga aliingia kwenye headlines, baada ya kuandikwa katika gazeti na blog kadhaa kuwa kavunja mkataba…
Baada ya kumfukuza Kerr, mipango ya Simba haijaishia kwa Mayanja, wanamtaka kocha huyu …
Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kutangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo muingereza Dylan Kerr na kocha wa makipa Iddi, January 18 makumu wa Rais wa klabu…
Skylight Band wamekuja kivingine,Kutana nao na Nata Kidogo….!!
Inawezekana hujawasikia kitambo mtu wangu bendi ya Skylight lakini kwa sasa wamekuja upya na singo mpya,Hii inaitwa Nata Kidogo,enjoy kusikiliza wimbo mpya wa New Skylight Band. Unataka kutumiwa MSG za…
Kama mipango ya mama yake ingetimia, Alan Wanga asingeichezea klabu yoyote ila …(+Audio)
Katika maisha watu hupitia njia mbalimbali ili kuweza kufikia malengo katika maisha yao, wengine huwa wanapangiwa na wazazi wao kazi ambazo wangependa watotot wao wafanye, lakini wengine uchagua wenyewe, January…
Ripoti ya mchezo wa Tennis duniani kwenye headlines za udanganyifu..
Shirikisho la soka duniani FIFA liliingia kwenye headlines baada ya viongozi wake kukumbwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha. Sasa ni zamu ya mchezo wa tennis baada ya uchunguzi kubaini…
TOP 5 Stories: Debuchy anajutia kuwa Arsenal kisa?, Hiddink anataka Terry apewe mkataba, mbaya wa Taifa Stars kutua Arsenal …
Mtu wangu wa nguvu bado headlines za dirisha dogo la usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi, najua wengi mnataka kufahamu mchezaji yupi kaenda wapi na mwingine anatokea wapi, lakini nani…
#New: Kanye West anaisogeza rasmi single yake mpya; ‘No More Parties In LA’ feat. Kendrick Lamar! – (Audio).
Yamepita masaa saba tu toka staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Kanye West atangaze kuachia single yake mpya 'No More Parties In LA' na King of Compton City, Kendrick…
Waziri Simbachawene kawasimamisha na hawa Wakurugenzi wengine…
Zoezi la kuendelea kuwatimua watendaji wasiowajibika katika ofisi za umma limeendelea kuchukua headlines kila siku..leo inawahusu wakurugenzi wa Manispaa za Kigoma, Katavi na Mpanda ambao wamesimamishwa kazi na Waziri wa Nchi,…