Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm ameguswa kufukuzwa kwa Dylan Kerr, kasema haya …
Ikiwa ni wiki moja imepita toka uongozi wa klabu ya Simba utangaze kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, muingereza Dylan Kerr, January 18 kocha wa Dar Es Salaam Young…
Kinachoendelea eneo la Mkwajuni baada ya wananchi kufunga barabara..Picha
Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam, lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara. Wananchi hao waliamua…
Kilichonifikia kuhusu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege TZ…#RIP
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea. Msemaji wa Mamlaka ya viwanja vya ndege Ramadhani Maleta…
Mbunge Kubenea kufufua Escrow, Utafiti wa VVU, kashfa Stanbic, vigogo wa Polisi je?…#MAGAZETINI
MTANZANIA Kamati ya Migogoro na Usuluhishi ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA), imepanga kuanza kusikiliza maelezo ya Serikali ya Burundi na chama tawala dhidi ya hoja za wanaharakati wa haki…
Top 10 ya stori za Tweets kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 18 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
D’wikend ya CloudsTV ilivyowakutanisha Nuh Mziwanda na Shilole bila kujijua ili wapatane
Shilole na Nuh Mziwanda walikua wanabongofleva walio mapenzini ambapo Shilole alishavishwa pete ya uchumba zaidi ya mwaka mmoja uliopita, kwenye Interview na Millard Ayo December 2015 alisema yuko tayari kwa…
Meek Mill anaisogeza hii mpya ‘The Trillest’ pembeni Nicki Minaj – (Video)!
Meek Mill anaendelea kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na 50 Cent na kuachia diss track yake ya 4/4 inayowalenga Drake na…
Stori za Magazeti ya Tanzania January 18 zilivyosomwa Redioni Clouds FM (+Audio)
Kwenye stori kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni unaweza kucheki na hizi mtu wangu. Serikali yalifungia gazeti la 'Mawio', baadhi ya walimu Bagamoyo walalamikiwa kuwa wanachat darasani badala ya kufundisha, Serikali…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 18 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
Ni Jumatatu ya January 18 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache…
Mfahamu Pascal Wawa wa Azam FC, kuacha shule akiwa na umri wa miaka 12 na mengine (+Audio)
January 18 mtu wangu wa nguvu na kukutanisha na exclusive stori ya maisha ya beki wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Azam FC Pascal Serges Wawa, wengi tunamfahamu…