Hii ndio heshima aliyopewa Mbwana Samatta na serikali ya Zanzibar …
Bado furaha ya watanzania na serikali kwa ujumla juu ya ushindi wa kihistoria wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe inazidi kushika kasi, tumeona mapokezi…
Huu ndio mpango ambao Adidas wangependa utokee kwa Pep Guardiola na Lionel Messi
Gazeti maarufu la michezo Hispania la Marca, January 12 limepamba headlines zake za gazeti kwa kumuandika kocha anayetajwa kuwa ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola na mshindi wa tuzo tano…
Baada ya Rais Magufuli, ni zamu ya Waziri Mkuu Majaliwa wodini kwa Mzee Sumaye (+Picha)
Magazeti ya January 12 2016 mengi yalibebwa na stori kuhusu ziara ya Rais Magufuli kwenda kimyakimya Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mzee Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu. Hiyo ilikuwa ni…
Watu na ujasiri wao, cheki na jamaa kaiba nyoka na kumficha kwenye nguo ya ndani aliyovaa.. (+Video)
Hivi unaanzaje kuleta mzaha na nyoka mtu wangu ?! Eti nyoka unamuiba na bado unamficha kwenye nguo ya ndani uliyovaa ??? Mama mmiliki wa duka linalouza nyoka pamoja na wadudu…
Jipya la Dr. Shein kuhusu uchaguzi mkuu Zanzibar na mengine…(+Audio)
Leo Jan 12 2016 Zanzibar ilikuwa ikiadhimisha miaka 52 ya mapinduzi, ambapo Rais Dr. Ali Mohamed Shein alipata time ya kuwahutubia wananchi wake na haya ndio aliyoyalenga zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=CLxScBujqfI Unataka kutumiwa…
Pale ambapo mtuhumiwa ameamua kuwatumia Polisi selfie yake ili wamtafute vizuri.
Ikitokea unakutana na ripoti kwenye kona yoyote kwamba unatafutwa na Polisi lazima mapigo ya moyo yaanze kwenda kasi… kama ni kesi, unatafutwa kwa kesi gani? Hilo swali halitokosa kujiuliza, lakini…
Picha mitandaoni, lakini ni kweli Linex kaoa ??!!! Sikiliza majibu yake sasa.. (#UHeARD)
Kama vile ambavyo huenda na wewe mtu wa nguvu umekutana na pichaz mitandaoni, Linex ndani ya suti yake kali kabisa, mrembo ndani ya gauni la nguvu !! Ilikuwa ndoa kabisa au…
Kasi ya utendaji inatambaa mpaka Kanisani, Anglikana Mwanza wana hii ya mil. 500..(+Audio)
Kutoka 88.1 Mwanza stori kubwa ni ile ya Kanisa la Anglikana kuamua kumfukuza Askofu wa Kanisa hilo kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na fedha, ripota wa millardayo.com amekutana…
Unajua maeneo 15 ya India ambako ni MARUFUKU kupiga ‘selfie’? Sababu ni hii..
Najua nina watu wangu wao na selfie damdam, taarifa ikufikie kwamba kuna maeneo imebidi selfie zipigwe marufuku kwa ajili tu ya usalama wa watu. Sababu ya Serikali kuamua kuingia kati…
DC Zainabu Telack amezipata taarifa za mtu kuvuliwa nguo wilayani kwake Sengerema?..(+Audio)
Headlines za watu kuvuliwa nguo hadharani kama zilikuwa zimepotea kwa siku kadhaa, Pamoja na kuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye aliwahi kusikika kuhusu wanaovaa nguo fupi…