Mwigizaji Wastara kathibitisha kuolewa na Mbunge wa Zanzibar kwenye picha zao 12 (Pichaz)
Wastara ni Mwigizaji wa Bongo Movie, kulikuwa na picha chache zikizunguka mitandaoni zikimwonesha Wastara akifunga ndoa mtu aliyetajwa kuwa ni Mbunge, ninazo picha pamoja na maneno yake akithibitisha nda yake…
January 10 2016 magazeti 16 ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 10 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 16 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea…
Video: Samatta kwenye gari la Waziri wa michezo alivyoitembeza tuzo yake Dar akisindikizwa na Polisi
January 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa Wachezaji wa ndani Mbwana Samatta aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye na Watanzania wengine kusherehekea…
Vitu vitano vinavyoweza kukushangaza Zanzibar, kuna hoteli huwezi kulala hata uwe tajiri vipi …
Mtu wangu wa nguvu wakati Kombe la Mapinduzi likiwa limesimama kwa mapumziko ya siku moja kabla ya Jumapili ya January 10 kuendelea katika hatua ya nusu fainali. Ripota wa millardayo.com…
David Kafulila na kesi mpya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma….
Taarifa ninayokusogezea ni ya David Kafulila aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, tunafahamu ana kesi Mahakamani ya kupinga matokeo ya ubunge 2015 jimbo la Kigoma Kusini kesi ipo Mahakama Kuu Kanda…
Gareth Bale kamkaribisha Zinedine Zidane kwa kuwafunga hat-trick Deportivo La Coruna (+Pichaz&Video)
January 9 ni siku ya mapumziko kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa sasa ni michuano mikubwa pekee kwa Tanzania inayoendelea, baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kusimama ili kupisha…
VIDEO: Mbwana Samatta alivyopokelewa uwanja wa ndege Dar es salaam
Mchezaji wa kimataifa Mbwana Samatta wa Taifa Stars na club ya TP Mazembe ya DRC Congo alishinda tuzo ya Afrika kama mchezaji bora wa mwaka 2015 kwa wachezaji wa ndani,…
Sentensi za ACT- Wazalendo leo Jan 9 mbele ya waandishi wa habari….
Leo Jan 9 chama cha ACT- Wazalendo kilifanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na kumpongeza Mbwana Samatta pamoja na ishu ya Bomoabomoa inayoendelea Dar es Salaam. Akizungumza Naibu katibu…
Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …
Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa…
TOP 5 Stories: Zidane kataja hatma ya Ronaldo Real Madrid, Wenger athibitisha kukaribia kukamilisha usajili huu
Kuna mengi huwa yanaandikwa mitandaoni na kwenye magazeti kuhusu soka mtu wangu wa nguvu, Jumamosi ya January 9 naomba nikusogezee TOP 5 ya headlines stories zilizoandikwa sana mitandaoni Jumamosi ya…