Ndege ya abiria ilivyokatiza safari yake angani kisa Panya..
Matukio yameendelea kuchukua headlines India.. ukiachia lile tukio la joto kali lililofanya watu kushindwa kuvumilia na kukaa ndani ya maji wakihofia maisha yao huku wengine wakipoteza maisha kutokana na joto…
Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi…
Sema Ghana wametisha sana na hii kampuni inayotengeneza magari.. ( picha 14 )
Pamoja na hizi picha zaidi ya kumi kwenye hii post, inabidi ufahamu haya mambo matatu ya hii kampuni ya raia wa Ghana ambayo imeanza kupata mapokezi mazuri kwenye biashara ambayo…
Shule za DC Makonda? Prof. Lipumba na Rais Magufuli? Padri kuzaa na mke wa mtu? Madini gerezani? #StoriKUBWA
Kwenye stori kubwa December 31 2015 ziko na hizi zilizoguswa na uchambuzi wa redioni kama ulipitwa. Mgonjwa aliyelipiwa gharama za matibabu na Rais Magufuli hospitali ya Muhimbili agoma kutoka baada…
Na hizi ndio picha 10 za mastaa Instagram zilizopata likes nyingi duniani mwaka 2015
Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umepata watu wengi sana kwa mwaka 2015, ni mtandao ambao kila mtumiaji anao uhuru wa kupost picha na video fupi za sekunde kumi na…
TBT: Picha 8 za Rais Magufuli, Izzo B, Linex, Nikki wa pili, Hermy B, Ben Pol, Rose Ndauka enzi hizo za utoto
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi…
Watu wa Kinondoni… Mkuu wenu anasema na nyinyi hapa
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda anasema na watu wake kwa kile kilichogundulika na tatizo kubwa la shule.... yani kuna Wanafunzi watakosa nafasi kwenye ile neema ya Rais Magufuli,…
REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki
Kila mtu anayo yaliyompata mwaka 2015 iwe huzuni au furaha, kwa staa wa bongofleva Nay wa Mitego kwenye upande wa mapenzi hawezi kusahau mengi ikiwemo ya mpenzi wake kuvishwa pete…
Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi.
December 30 2015 Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mwenyekiti mstaafu wa chama cha Wananchi C.U.F aliyasema haya hapa chini mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam. https://www.youtube.com/watch?v=ACBBUpkqQdQ Unataka kutumiwa…
List ya makatibu wakuu walioteuliwa na Rais Magufuli December 30
Stori nyingine kubwa kutoka Ikulu Dar es salaam December 30 2015 ni hii ya uteuzi wa Makatibu wakuu kwenye wizara mbalimbali za awamu ya tano ya Rais John Pombe Magufuli.…