Magazeti ya Tanzania December 31 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 31 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Video ya dakika 10 za Mbwana Samatta na waziri Nape Nnauye Dar es salaam
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea TP Mazembe Congo DRC Mbwana Samatta alikutana na waziri wa habari, vijana, wasanii na michezo Nape Nnauye wakati ambapo zimebaki siku chache kuelekea Abuja Nigeria January 7 kwenye utolewaji wa…
FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)
December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya…
Video: Tekno ameshafika Dar es salaam Dec 29
Mkali wa hit singo ya Duro ambaye asili yake ni Nigeria Tekno tayari ameshawasili Bongo kwaajili ya kufanya show ya funga mwaka 2015. Hapa nimekusogezea video akiwasili uwanja wa ndege na alivyoyajibu…
Kama hujawahi kuiona, hii ndio video ya magoli ya mashuti ya mbali yaliowahi kufungwa katika Ligi Kuu Uingereza
Mtu wangu wa nguvu najua ni nadra sana kuona mchezaji soka akifunga goli kwa shuti la mbali, hili ni tukio ambalo hutokea katika mechi mara chache, magoli ya mashuti ya…
Timu mbovu kuliko zote duniani inataka kumuajiri Mourinho, eti akitwaa taji la Ligi wanamfukuza !!!
Ikiwa bado tunaelekea katika kipindi cha dirisha dogo la usajili la mwezi January kwa vilabu vya barani Ulaya, bado zile headlines za kocha huyu ataenda huku na mchezaji huyu ataenda…
Makubwa mengine ya Enock Bella wa Yamoto Band ni haya…yanahusisha pilipili na maji
Enock Bella ni mwimbaji wa bandi ya Yamoto kutoka kwenye mikono ya mkubwa na wanae kundi linavijana wanne kila mmoja na kionjo chake cha sauti, usidhani ile sauti ya Enock…
Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu…
Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio)
Ishu ilianza kwenye mtandao wa Instagram ambapo Mr. Blue alipost kwamba amesikia kuna watu wanajiita simba akati yeye alijiita jina hilo kwa sababu ya style yake ya kuchana. Blue amesema…
Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu….
Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzania ambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi. Kwenye interview yake na…