Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar
Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno 'jipu' au 'majipu' kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya…
Popote ulipo unaweza kuzipokea salamu za sikukuu kutoka maziwa ya NIDO
Ni msimu wa sikukuu ya sherehe za mwisho wa mwaka, Christmas na mwaka mpya 2015, kama kuna salamu umezipata kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki... sasahivi ni time ya kukufikishia…
Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)
Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa…
Hekaheka ya wanawake wa VICOBA walivyovamia wakachukue vyao wanakodai !! (+Audio)
Hekaheka inagusa story za mtaani, visa kwenye kona na mitaa mbalimbali ya Dar na kwingineko... ya leo inahusu ishu ya VICOBA, dada mmoja kakopeshwa pesa za VICOBA na hajarudisha zaidi…
Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio)
December 29 2015 jina la mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudina kitu masikioni mwetu. Imenifikia hii ngoma inaitwa…
Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia..
Kumekuwa na nchi nyingi zikijitahidi kupambana na ishu ya dawa za kulevya Duniani, nchi nyingine imefikia mpaka hatua ya kuweka sheria kali ili kudhibiti kabisa kuingizwa na matumizi ya dawa…
Biashara ya matunda? Wizi kwenye mizani? kufumuliwa Jeshi la Polisi? Mganga na nyamapori? #Uchambuzi
Hizi ni baadhi ya stori kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni leo December 29 2015 kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania. Serikali yaweka mkakati wa udhibiti wa uuzaji wa…
Magazeti ya Tanzania December 29 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 29 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Baada ya kuuawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi
Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine…
Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)
Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari…