Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki….(+Audio)
Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri…
Dec 23 Waziri wa Nchi kachukua haya maamuzi…(+Video)
Leo Dec 23 2015 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI George B. Simbachawene amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo. Hapa chini kuna Video ya Waziri akielezea sababu za…
Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu
Profesa Jay, msanii wa hiphop Tanzania aliyechukua ushindi baada ya kupigiwa kura na Wananchi wa jimbo la Mikumi Morogoro ili awe Mbunge wao kwa miaka mitano kuanzia 2015-2020, kama hujawahi…
Sentensi ya Ronaldinho kuhusu uchezaji wa Neymar, Messi, Suarez na Guardiola timu gani anaweza pata mafanikio
Bado headlines kuhusu kocha Pep Guardiola atafundisha timu gani msimu ujao zinazidi kushika kasi, najua umesikia kuwa kwa sasa Pep Guardiola atajiunga na klabu ya Machester City msimu ujao, lakini…
Yemi Alade wa Nigeria katisha… kaimba kiswahili kwenye huu wimbo mpya wa dakika 3
Yemi Alade ni mwimbaji kutoka Nigeria ambaye Afrika ilimtambua kwa uzito kupitia single yake ya 'Johnny' na baadae katuletea single nyingine mfululizo.... na sasa katuletea 'Na Gobe' (Swahili Version), bonyeza play…
Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape, kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)
Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza lake la mawaziri, kwa siku 13 toka…
Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki
Leo Dec 23 2015 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano…
Serikali ya Tanzania imefanya maamuzi ya kumsimamisha mwingine leo December 23
December 23 2015 imenifikia taarifa ya maamuzi yaliyoamriwa na Serikali ya Tanzania ambapo Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi ya mwendokasi DART, Bi. Asteria Mlambo amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.…
Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo…
Utendaji wa Hospitali ya Ocean Road haujamridhisha Waziri wa Afya…maamuzi ya waziri yamefuatia
Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa Waziri wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya…