Diwani wa CHADEMA aliyeikubali kasi ya Rais Magufuli
Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa kinaonekana na wengi, na kila mmoja anatoa yake ya moyoni kulinganisha na yale aliyoyaona.... mtazame Diwani wa Ubungo kwa…
Picha 7 za Rock City shopping mall… inaanza kufanya kazi kesho Dec 19
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha ‘Mlimani City ya Mwanza‘ ikiwa kwenye ujenzi. Sasa good news ni…
Exclussive Interview na Mkenya aliyeitendea haki Hello ya Adele – Dela
Nakukutanisha na mwimbaji Mkenya Dela aliyefanya Copy ya wimbo wa Adele-Hello kwa lugha ya Kiswahili ambao umempelekea kukamata Headlines nyingi ndani na nje ya Afrika Mashariki. Ukibonyeza Play hapa chini utaweza…
Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio)
Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba 25, 2015 kisha matokeo kutangazwa, matukio mbalimbali yaliibuka ikiwa ni pamoja na baadhi ya wagombea walioshindwa kuamua kwenda mahakamani kupinga uhalali wa matokeo. Mmoja kati ya hao alikuwa Didas…
Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu…
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa... Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12…
Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..
Headlines za bomoabomoa zimeendelea tena leo Dec 18 ambapo zoezi hilo limeendela kwenye wilaya ya Kinondoni na kubomoa nyumba za wakazi waliokuwa wakiishi maeneo hatarishi hasa bonde la Msimbazi lililopo…
UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa…
Leo viongozi wa CHADEMA wamekutaka na kuzungumza mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari. Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salum Mwalimu amezungumzia mchakato wa kuwapata Mameya watakaowakilisha Wilaya za Kinondoni…
Utani wa mashabiki baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Chelsea…(Video)
Jana uongozi wa klabu ya Chelsea ulimtimua kazi kocha wao Jose Mourinho baada ya timu yao kuendelea kupata matokeo mabaya katika mechi zake za ligi kuu. Licha ya kikosi hicho…
Chris Brown anaisogeza hii ya mwisho akiwa na Royalty, ‘Little More (Royalty)’ – (Video)!
Chris Brown anafunga mwaka wa 2015 kwa style ya kipekee zaidi... baada ya kuachia video za nyimbo nne zinazopatikana kwenye album yake mpya Royalty, staa huyo wa muziki wa R&B…