Sekunde 40 za katibu wa Yanga akizungumzia kuhusu Niyonzima kusimamishwa (+Audio)
Headlines za soka la Bongo December 17 zilikuwa ni stori za kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayechezea klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima, kuwa klabu ya Yanga kupitia kwa…
Paul Makonda kaushtukia huu mchezo Kinondoni, maamuzi yake je? (+Video)
Dec 17 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda aliuweka wazi mchezo wa kuiba Mamilioni uliochezwa kwenye ujenzi wa barabara za Kinondoni ambapo unaambiwa ni Bilioni 4 na milioni 900 zilipitishwa…
TOP 5 Stories: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..
Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo…
Tazama video ya Koffi Olomide on stage Dar es salaam akitumbuiza ‘selfie’ na nyingine
Video ya show yake ilishapanda kwenye channel ya millardayo Youtube lakini kukatokea tatizo kidogo, hii ni mpya nimeiweka saa kadhaa zilizopita kama hukuiona, full video ndio hii hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=zlaX-NS95zE…
Dakika 7 za kuenjoy na mbwembwe za wanyama waliovamia katikati ya mechi za mpira.. (+Video)
Kama ambavyo niliwahi kukusogezea video ya jamaa ambao waliwahi kupenya na kuvamia katikati ya mechi kwenye viwanja vya mpira, time hii nina mzigo wa wanyama. Pata picha ile ghafla tu…
Mzigo wa video ya ‘Shem Lake’ ya Izzo Bizness Ft. Mwana FA & G Nako ndio huu umetufikia
Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia 'Shem Lake' akiwapa shavu Mwana FA pamoja na mkali wa chorus kutoka Weusi, G Nako a.k.a G Warawara, sasa kipya kwenye hii time ni…
Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani
Weekend hii itakuwa na headlines za urembo kwenye mataji mawili makubwa duniani, yani ni kwamba itashuhudiwa fainali ya Miss World ambayo itafanyika Dec 19 2015 ndani ya Sanya China, alafu…
List ya mastaa watano wenye ushawishi mkubwa Africa kwa mwaka 2015… Mtanzania ni mmoja tu!
Nimekutana na jarida la New African Magazine toleo ya December 2015 na ndani ya jarida hilo nikakutana na list ya watu waliotajwa kama watu wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa kwa…
Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia leo ni kuhusu kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kufutwa…
Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi
Bomoabomoa bonde la Msimbazi imeanza tayari na baadhi ya nyumba tayari zimeshabomolewa katika eneo la Hananasifu, Kinondoni Charles Mkalawa ambaye ni Afisa mipango miji Wizara ya Ardhi alikuwa eneo la…