Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ….
Najua umezoea kusikia zile headlines za wanamichezo kadhaa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa…
Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio)
Ukitaja list ya mastaa wa rap ambao waliwahi kufanya vizuri TZ toka kipindi ambacho game ya Bongo fleva ilianza kushika, huwezi kuacha jina la Black Rhino. Unaikumbuka 'Usipime' ?!! Au…
Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio)
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio la meli kuwaka moto Nimeipata ripoti pia kwenye habari ya ITV kwamba meli hiyo ya MV Royal…
Serena Williams alivyotangazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015…
Serena Williams katangazwa kuwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015, katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Pier 60 uliopo New York City, ulihudhuriwa pia na dada yake Venus Williams, mlezi wao…
Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya bilioni 2..
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye…
China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi.. (+Video)
Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwanda vikalazimika kufungwa kwa muda. December 14 2015 nilikusogezea ripoti ya…
Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Desemba 16, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Shabiki wa HipHop? Wiz Khalifa anakuletea hii mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa! – (Audio).
Wiki moja baada ya kuisogeza tracklist ya mixtape yake mpya, Cabin Fever 3 staa wa muziki wa HipHop Marekani, Wiz Khalifa anatimiza ahadi kwa mashabiki wake kwa kuisogeza mixtape hiyo…
Ziara ya LOWASSA, Mchungaji, mkewe wafanya ukatili, dhamana ya vigogo wa TRA…#MAGAZETINI
MWANANCHI Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini…
Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa staa kutoka bongo flevani, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money. Najua pia mmekuwa mkimfuatilia Vanessa kwenye matukio yake mengi na kwa ajili…