50 Cent anatualika kuitazama video yake mpya ‘Too Rich’
Inawezekana kabisa 50 Cent hajashika chati za juu na muziki wake kwa kitambo sasa hivi lakini jamaa huwa anatoa video mpya mara kwa mara ambapo leo ni zamu ya hii…
Licha ya kupokea mshahara wa zaidi ya milioni 300, Sterling anatembelea gari la milioni 39.2 (+Pichaz)
Headlines za uhamisho wa rekodi wa Raheem Sterling kutoka Liverpool kwenda Man City wenye thamani ya pound milioni 49 sambamba na mshahara wa pound 180,000 uliingia katika headlines. Uhamisho huo…
Nimekusogezea video 10 za bongo Fleva zilizokuwa zikitamba enzi hizo….
Huu muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo… nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo…
Audio: Msikilize Rais Magufuli alivyotangaza baraza la mawaziri Dec 10 2015
Ni Dr. John Pombe Magufuli tena kwenye headlines ambapo Rais huyu wa awamu ya tano jamuhuri ya muungano wa Tanzania leo December 10 2015 ametangaza baraza la mawaziri japokua halijakamilika,…
Picha 8 za Rais Magufuli akielekea kutangaza baraza la mawaziri leo Dec 10
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza baraza la mawaziri December 10 2015 ambapo hata hivyo hajamaliza kutaja mawaziri wengine akisema anaangalia ni nani wa…
Nyingine mpya kutoka kwa R.Kelly imenifikia; ‘Let’s Be Real Now’ feat. Tinashe – (Audio)
Ni single baada ya single mtu wangu, staa wa muziki wa R&B, R.Kelly anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya. Wimbo unaitwa 'Let's Be Real Now'…
Video ya mastaa wa bongo movie walivyofanya usafi Dec 9 na makamu wa Rais
Dec 9 2015 ni siku ambayo Watanzania mbalimbali waliungana na Rais John Pombe Magufuli kufanya usafi kwenye siku hii ya Tanzania kutimiza miaka 54 ya Uhuru, kwenye hii video hapa…
Ule usafi wa jana alioagiza Rais Magufuli, BBC Uingereza nako wameujadili .. (+Video)
Ni headlines za Serikali ya Rais Magufuli kwenye kazi na kasi yake kila kona... unajua sio kila kiongozi anayeshika nafasi ya juu kwenye nchi yoyote anaweza kujadiliwa kwenye vyombo vikubwa,…
Headlines 5 za stori kubwa za michezo Uingereza December 10 2015, huyu ndio kocha aliyefutwa kazi ..
Imekuwa ni kawaida kwa siku hizi kukuta habari mpya kila siku zikiingia katika headlines, iwe siasa, uchumi au michezo, December 10 nimekukusanyia Top 5 ya stori kubwa za michezo zilizoingia katika…
Mabibi na mabwana Jux anatualika kuitazama video yake mpya ‘one more night’
Baada ya kupita kwenye headlines za MTV BASE, December 10 2015 ndio msanii wa bongofleva Jux ameiachia hii video mpya ya 'one more night' bonyeza play kuitazama hapa chini kisha…