Kazi nyingine kutoka kwa wakali wa Nigeria, Banky W Feat. Chidinma- ‘All I Want Is You’ >>#Audio
Banky W na Chidinma ni mastaa wa Nigeria ambao muziki wao ulipata nafasi kupenya kwenye masikio ya Waafrika na wakakubalika moja kwa moja. Kama uliwahi kubahatika kukutana na ngoma zao…
Mengine manne ya kufahamu kutoka kwa Lupita Nyong’o ni haya..!
Umaarufu wa staa wa movie Lupita Nyong'o unazidi kushika kasi kila mwaka, baada ya kutokea kwenye majarida mbalimbali kwa mwaka huu wa 2015, staa huyo wa movie mwenye asili ya…
Peter Msechu on air with Millard Ayo na alivyokula milioni za Wabunge. (video)
Mwimbaji Peter Msechu alikaa studio na Millard Ayo na kufanya Interview kuhusu maisha yake, alivyokula milioni za Wabunge 2015 na mengine mengi ambayo hatujawahi kumsikia akiyaongea. https://www.youtube.com/watch?v=bP0XptN-bmo Unataka kutumiwa MSG za…
Happy birthday Clouds FM, leo ni miaka 16 ya kuzaliwa !!!
December ni mwezi ambao Clouds Fm inasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo leo wasanii na watangazaji mbalimbali walikuwa wakiipongeza kupitia mitandao ya kijamii kwa kufikisha miaka 16 katika uandaaji wa…
Matatu ya kufahamu kutoka kwa Tiwa Savage >>> mtoto, mapenzi na imani ya kiroho!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage... na pengine unajua ama hujui mengi sana kuhusu msanii huyo kutoka lebo ya Mavins…
Wachina hawana utani, kesi ya kuwinda ndege tu unakutana na kifungo miaka 10 jela ..!!
Unajua ukizitaja nchi ambazo zimekuwa zikizungumziwa sana kuwa na sheria ngumu na kali, China nayo imo... unaweza kuona ishu ya kukamatwa unawinda ndege ni kesi ndogo lakini sio kesi ndogo…
Sentensi nne za DC Paul Makonda alivyomalizana na mgomo kiwanda cha URAFIKI Dar..
Hii stori nilikuzogezea muda mfupi uliopita kuhusu ishu ya mgomo wa wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI kilichopo eneo la Shekilango Dar es Salaam. Updates za taarifa iliyonifikia muda…
Mtanzania mwingine kwenye Tuzo za filamu Marekani December hii.. #COVCA2015
Good News ikufikie kwamba kama vile ambavyo imekuwa kawaida sasahivi kukutana na Watanzania wakitoboa kwenye anga kubwa kimataifa kwa kazi nzuri za muziki, basi na filamu nazo haziko mbali sana…
Kutoka Arusha kwenye kampeni za Ubunge za Godbless Lema..(Picha)
Zikiwa zimebaki siku 11 kabla yakufanyika kwa Uchaguzi Mdogo wa ngazi ya ubunge katika jimbo la Arusha kampeni bado zinaendelea huku Godbless Lema akiendelea kutetea kiti chake Mikutano ya hadhara inaendelea…
Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JNIA Dar baada ya kutolewa Challenge …
Timu ya taifa ya Tanzania bara Kilimanjaro Stars imewasili Dar Es Salaam December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya Ethiopia katika michuano ya…