Chris Brown kuzuiliwa tena kufanya tour Australia?! New Zealand, Canada na Uingereza je?
Mwezi September 2015, ilionekana vigumu kwa staa wa muziki wa R&B, Chris Brown kuingia Australia na kufanya show, sababu kuu zilikuwa mbili, utapeli na historia yake ya kupiga wanawake... lakini…
Warembo kwenye michezo ya hatari !!.. cheki walivyokatisha juu ya kamba na high heels.. (+Video)
Huu mchezo wa kutembea juu ya kamba sio mchezo wa kawaida, hata mwanaume kupata ujasiri wa kutembea juu ya kamba yataka moyo !! Lakini wapo ambao wako poa kabisa na…
Kutoka Ikulu kuhusu dola MILIONI SITA zilizorudishwa Tanzania (+AUDIO)
Ikulu ya Tanzania imesema yafuatayo >>> 'tunapenda kusisitiza kuwa juhudi za kuwezesha kurejeshwa kwa fedha hizi zimefanikiwa kutokana na ushirikiano mkubwa uliotolewa na vyombo vya serikali ya Tanzania ambavyo ni…
Sitta, Mwakyembe matatani? Wabunge na Posho, Makontena ya Dar? + Bilion 15 za TZ zilizopotea? – (Audio).
Kuperuzi na kudadisi @CloudsFM imekupita? Inawezekana hukuzipata zote zilizoweka headlines kwenye uchambuzi wa magazeti redioni asubuhi hii… kama ilikupita hizi ni dakika 20 za zile zote kubwa za leo. Makontena…
Mambo matatu ya kufahamu kutoka Ikulu kuhusu utanuzi wa barabara Morocco hadi Mwenge.. (+VIDEO)
Baada ya Ikulu kuagiza fedha zilizotakiwa kutumia kwa ajili ya Siku ya Uhuru ziende kutumika katika utanuzi wa barabara ya Morocco-Mwenge, Sasa hii ni taarifa mpya ya utekelezaji kutokea Ikulu>> https://www.youtube.com/watch?v=svo-Jk6VFO8…
Magazeti ya Tanzania December 2 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 2 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Kama ulipitwa cheki video za magoli 9 makali yaliofungwa usiku wa Kombe la Capital One Uingereza Dec 1…
Mtu wangu wa nguvu mpenda soka ikiwa ni siku ya pili ya mwezi December kwa mwaka 2015, Uingereza imepigwa michezo kadhaa usiku wa December 1, michezo iliyopigwa ni michezo mitatu…
Top 10 ya Trace Tv Desember 1, 2015…(+VIDEOS)
Katika chat ya Jana November 30, 2015 kwenye Harban Hit Top 10 za kituo cha kimataifa kilichopo nchini Ufaransa Trace Tv zilikuwa kama ifuatavyo:- 10.The Weeknd-The Hills 9.Tecno-Duro 8.Jjc ft Olamide-Motiwa…
Vitu vitatu ulivyokuwa huvijui kuhusu Simon Msuva wa Yanga (+Audio)
Simon Happygod Msuva sio jina geni masikioni mwa wapenda soka wa Tanzania hususani wapenzi na mashabiki wa klabu ya Dar Es Salaam Young African. Simon Msuva ni mkali wa soka…
Ninayo stori ya Mwanamke wa kwanza kuupata Ubunge 2015 mkoa Mara…(Audio)
Kwa zaidi ya miaka hamsini jimbo la Tarime mkoa wa Mara limeongozwa na Wanaume kwa ngazi ya Ubunge , sasa time hii jimbo limeweka historia ya kuongozwa na Mwanamke Ester…