Like father like son, cheki video ya mtoto wa Zidane akimpiga kichwa mchezaji wa timu pinzani …
Mwaka 2006 staa wa soka wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria Zinedine Zidane aliingia katika headlines wakati wa mchezo wa fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2006…
Maagizo ya Rais Magufuli ujenzi wa barabara ya Mwenge – Morocco kazi imeanza..(Picha)
Jana November 30, 2015 tulipata taarifa kutoka Ikulu kwamba fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kutumika kugharamia sherehe za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika December 09 2015, zitumike kufanya upanuzi wa barabara…
Kama huna playlist ya Christmas, anza na hii kutoka kwa Fetty Wap ‘For my Fans’ (EP) – (Audio)
Mwaka huu umekuwa poa sana kwa mtu wetu Fetty Wap kimuziki, baada ya kupata mafanikio makubwa kwenye muziki wake mwaka huu, ikiwemo na kukamata nafasi ya juu kabisa kwenye moja…
Clouds FM kuwalipa wasanii? COSOTA na Baba Levo je? Mkubwa Fella ‘mzigoni’ Mbagala… (#255)
Karibu kwa mara nyingine nikukutanishe na stori kalikali zilizonaswa na #255 kwenye show ya XXL @CloudsFM... Baba Levo, Boss Ruge wa Clouds FM na Doreen wa COSOTA wote ndani !! Uliwahi…
TRA na Jeshi la Polisi walivyonasa makontena Mbezi Dar…
Najua bado kuna headlines kuhusu ishu ya makontena 349 kupotea bandarini Dar es Salaam na mpaka leo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwashikilia watu 12 kutokana na tuhuma hizo. Kituo cha…
Mauzo ya Album mpya ya Chris Brown ‘Royalty’ yatatumika kufanya haya msimu huu wa Christmas..!
Msimu wa Christmas na Mwaka Mpya ndio huu umeanza mtu wangu zikiwa zimebaki siku 23 kufikia December 25. Wasanii mbalimbali Marekani wamejitokeza kutoa nyimbo kwa ajili ya msimu wa Christmas…
Interview Part II: Harmonize alivyokutana na Diamond kwa mara ya kwanza na Diamond alivyomjibu.
Harmonize ni msanii mpya kwenye bongofleva, msoto wake wa maisha ulimpa machungu na akakomaa kwenye alichokiaminia mpaka akafanikiwa, alianza kujulikana kwa ukubwa baada ya kuangukia mikononi mwa Diamond Platnumz ambaye…
Cheki michezo ya waarabu wa Dubai na magari yao barabarani… (+Video)
Unaweza ukakutana na pichaz ukajua labda ni utani watu wametengeneza... au unaweza kuhisi labda ni wataalam wa movie wamefanya mambo yao ya computer !! Hizi video niliwahi kusogeza mojawapo hapahapa…
Mtu wa nguvu na watu wangu wa chuo weekend iliyopita! #TIGOuniversityVIP
Kama uko chuoni IFM, UDSM au CBE Dar es salaam, Utumishi Mtwara au Mzumbe Morogoro unayo nafasi ya kushinda na kupewa hadhi ya ki-VIP kutoka Tigo, na tayari mpango umewadondokea washindi wa…
John Legend anaisogeza ‘Under the Stars’ mpya kwa ajili ya Christmas & Mwaka Mpya! – (Audio)
Akiwa anasubiri ugeni wa mtoto wake wa kwanza, msanii wa R&B, John Legend amerudi na nyingine mpya kwa ajili ya msimu wa mwaka huu wa Christmas na Mwaka Mpya ikiwa…