Video mbili kujikumbusha moto wa Rais Magufuli enzi hizo akiwa Waziri wa Ujenzi..
Hizi ni sehemu ya video chache nilizozipata zikimwonesha Rais John Pombe Magufuli enzi hizo akiwa kwenye nafasi ya Uwaziri... nakumbuka baadhi ya majina ambayo aliwahi kuitwa wakati wa Kampeni za…
Ni kazi mpaka Jumamosi !! Waziri Mkuu Majaliwa kawasimamisha kazi wengine watatu TRA
Jana November 27 2015 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliendelea na majukumu yake kwa kufanya ziara ya ghafla bandarini Dar na kukutana na mambo ambayo yalimkwaza ikiwemo upotevu wa makontena…
Maamuzi mapya ya Rais Magufuli kuhusu Serikali kupunguza matumizi ya fedha..
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi wa maagizo ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kuhusu kupunguza matumizi yasiyo yalazima katika Wizara, idara na…
Kusafiri kwa dakika 14 kumewasababishia Arsenal kuingia katika mvutano na watu wa mazingira …
Jumapili ya November 29 klabu ya Arsenal itashuka dimbani kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Norwich City katika uwanja wa Carrow Road, huu utakuwa mchezo wa 14 kwa…
Kufuatia shambulizi la kigaidi Paris, klabu ya PSG imeamua hivi ili kuweka wachezaji wake salama …
Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris iliingia katika headlines November 13 2015 baada ya kufanyika shambulio la kigaidi, tukio…
Abiria wamepona kwenye ajali ya ndege na bado wanafungua na kesi ya ajali..
Ikitokea unakuwa sehemu ya watu walionusurika kwenye ajali, jambo kubwa ambalo wengi wanaanza nalo ni kumshukuru MUNGU kwa kutoka salama !! Kama uko karibu na headlines za stori za kimataifa…
Interview 3 za kutazama wiki hii, Diamond, Mrembo Naj na mzigo uliokua unatumwa China. (Videos)
Hapa kuna video tatu za stories kutoka kwenye channel ya Millard Ayo YouTUBE, ya kwanza ni hii Exclusive Interview ya mwimbaji Diamond Platnumz aliejibu maswali ambayo hakuyajibu kwa kipindi kirefu ikiwemo…
Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Dewji alivyoibuka na ushindi mwingine wa Forbes 2015..
Kama utakuwa mfuatiliaji wa rekodi kubwa zinazowekwa Tanzania Kimataifa, jina la mfanyabiashara Mohammed Dewji limetokea kwenye list nyingi kubwa duniani. Mohammed Dewji ameingia kwenye rekodi nyingi ikiwemo ya bilionea mwenye…
Burudani ya Mnigeria Patoranking alivyoikamata stage Dar..(Picha)
Ni usiku wa Novemba 27, 2015 mashabiki wa muziki walipata burudani kali kutoka kwa msanii wa Nigeria, Patoranking aliyesindikizwa na Nahreel, Vanessa Mdee, Ben Pol, Aika na wengineo Nimekusogezea hizi…
Magazeti ya Tanzania November 28 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 28 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…