Siku mbili kabla ya mazishi ya marehemu Mawazo, hii ndio mipango ya CHADEMA Mwanza.. (+Audio &Picha)
Ni zaidi ya wiki moja na nusu kumekuwa na habari zikichukua uzito kwenye vyombo vya habari kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Geita, Marehemu Alphonce Mawazo... kilichochukua muda mrefu zaidi…
Navykenzo wanakuja na Album mwaka 2016,lakini huu ni utofauti wa album yao na album zingine #Mauzo.
Mwaka 2015 ni mwaka uliotangazwa na wasanii wengi wa Bongo Fleva kutoa album zao,lakini mpaka mwezi wa 11 mwaka huu hakuna msanii ambaye kafanikiwa kuachia album licha ya baadhi ya…
Wizara ya Maliasili ina haya matatu baada ya makontena ya Magogo kukamatwa bandarini…
Idadi ya makontena 31 yaliyobeba magogo yamekamatwa katika bandari ya Dar es salaam yakidaiwa kutokea Zambia. Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kupata taarifa hiyo kupitia vyombo vyake vya…
Kumbe Dullysykes ilikua awe Mwanajeshi?ilikuaje hakwenda Jeshini tena?Majibu haya hapa.
Zipo stori ambazo huwa zinazungumzwa na kubaki kwenye kumbukumbu za Maisha yetu labda kutokana na kile ambacho uliamini kilikua sahihi kwa wakati huo,Leo Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva Prince…
Dakika 6 za Barnaba na alichokishuhudia kwa Jose Chameleone studio usiku
Kujua yote haya aliyoyaona Barnaba unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini... haya yote Barnaba aliyaona kwa Jose Chameleone baada ya wawili hawa kuingia kwenye studio ya Barnaba Dar…
Picha nne za The Game zilizosababisha Instagram kutoa onyo la kufuta account yake!!
Rapper aliyekuwa anaunda kundi la muziki la G Unit, The Game aliingia kwenye headlines siku chache zilizopita baada ya kupost picha akiwa nusu mtupu kwenye page yake ya Instagram, lakini…
Yamoto Band wanaikamata Nigeria time hii wako na Yemi Alade…(Audio)
Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefunguka na kusema kuwa tutarajie collabo mpya waliyoifanya na msanii kutoka Nigeria Yemi Alade.…
Breaking: Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim kaamuru waliohusika na hii wakamatwe na Polisi.
Ni headlines ndani ya kazi ya Rais mpya kwenye awamu ya tano ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ambaye kila siku amekuwa kwenye headlines kwa kukata…
Chris Brown anaisogeza ‘Fine By Me’ kutoka kwenye Album yake mpya – (Audio).
Baada ya kutoa performance iliyowafuraihsa mashabiki wake wengi kwenye kipindi cha The Tonight Show, Chris Brown amerudi kuzikamata headlines za weekend hii na single nyingine inayopatikana kwenye Album yake mpya…
Nuh Mziwanda alivyotaka kuingizwa kwenye biashara ya dawa za kulevya
Najua kuna wakati unatamani kufahamu changamoto wanazopitia wasanii wa Bongo Fleva sasa time hii nakusogezea stori ya Nuh Mziwanda ambaye yeye amefunguka na kukiri kukutana na changamoto ya kutaka kujihusisha…