Edinson Cavani na David Luiz wamegoma kurejea PSG, hii ndio sababu yao …
Beki wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa David Luiz pamoja na mchezaji mwenzake anayeichezea klabu hiyo na timu ya taifa ya Uruguay Edinson…
Video: Behind the scene ya Avril Ft. Ay ‘no stress’ iliyofanyika Dar
Avril mwimbaji kutoka Kenya alikuja Tanzania kufanya video yake ya kwanza na Director wa Kitanzania Hanscana kwenye jiji la Dar es salaam na ndani ya single hii mpya 'no stress' yuko…
Duu!!! Kama Taifa Stars wakiifunga Algeria, wachezaji watavuta mkwanja mrefu, hili ndio dau watakalopewa …
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado haina hali nzuri sana ya kujihakikishia inashinda mchezo wake wa marudiano dhidi ya Algeria, baada ya mchezo wa kwanza uliyochezwa November 14…
#Updates: Waliopita kukisogelea kiti cha Uspika Dodoma ni hawa watatu…
Leo kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Jakaya Kikwete ilikuwa na kazi ya kuteuwa majina matatu kati ya 31 waliojitokeza kuwania nafasi ya Uspika wa bunge la Jamhuri ya…
Full Time ya Uganda Vs Togo na matokeo ya mechi nyingine za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 (+Video)
Ikiwa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ina mtihani mgumu wa kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2018 Urusi dhidi ya Algeria baada ya mchezo wa waliocheza…
Huyu ndio golikipa pekee aliyewahi kufunga hat-trick, cheki video ya hat-trick yake hapa …
Katika soka kila mchezaji huwa na jukumu lake uwanjani, ataucheze vizuri vipi ila kama hutokuwa ukifanya vizuri jukumu lako uwanjani, basi huwezi kuhesabika kama wewe ni mchezaji mzuri, kwa maana ya…
Cristiano Ronaldo alivyojiachia kwenye mahojiano… kamtaja mpaka na atakaebeba Ballon d’Or
Bado headlines za staa wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo zinazidi kuchukua nafasi kila siku, hii ni sehemu ya interview ya Tv Show aliyofanya Uingereza mahali…
LOWASSA na siri nzito, M’kiti wa CHADEMA auawa, Uspika, kamanda Kova..#MAGAZETINI
MWANANCHI Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani…
Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania November 15, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Stori kubwa Magazetini Tanzania November 15 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma
Leo November 15 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…