Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania November 15, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Stori kubwa Magazetini Tanzania November 15 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma
Leo November 15 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Video ya magoli ya Taifa Stars vs Algeria Nov 14 2015 ! Full Time 2-2
Kama ulipitwa mtu wangu wa nguvu na hukupata nafasi ya kutazama mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 Urusi kati ya Taifa Stars dhidi ya…
Majina matano ya wachezaji wa Afrika wanaowania tuzo ya BBC 2015 na rekodi ya waliotwaa tuzo hiyo 2000-2014
Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita toka shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF litangaze majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika, November 14 shirika la utangazaji la Uingereza…
Full Time ya Taifa Stars Vs Algeria November 14 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam (+Pichaz)
Hatimaye mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi kati ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa…
Ngoma moja tu ya TZ imegusa #Top15 kwenye countdown ya Trace Urban TV… (+Video)
Chati ya muziki ya Kituo cha Television cha Kimataifa, Trace Urban imekamilika jumamosi kwa kuzisogeza ngoma zote kali zilizofanikiwa kuingia kwenye Top 30 jumamosi November 14 2015. Hapa nina list…
Mambo yameanza Dodoma, ratiba ya Bunge ni hii + pichaz Wabunge waliofika..
Kama umetembelea mitandao ya kijamii utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao…
Stori kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania November 14 2015, udaku hardnews na michezo kumeamka na hizi
Leo November 13 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook…
Sentensi mbili za David Beckham kama Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid …
Kama ni mpenzi wa soka wa muda mrefu huwezi kuacha kumjua David Beckham staa wa zamani wa soka wa Man United, Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza, Beckham…
Ijue siri ya rozari ya Joseph Kimwaga wa Simba, kwa nini anavaa muda wote? akiingia uwanjani je? (+Audio)
Jina Joseph Kimwaga sio geni katika soka la Tanzania hususani katika vilabu vya Azam FC na Simba, Kimwaga alianza kusikika katika soka akiwa katika klabu ya Azam FC kabla ya…