Hawa ndio Wabunge 256 waliothibitishwa na Tume ya NEC wanasubiri kuapishwa..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli tayari ameapishwa na kuanza kazi… kwa upande wa Wabunge wenyewe bado. Kinachosubiriwa ni kuitishwa kwa Bunge la 11…
Kilichonifikia kuhusu mashine za MRI kutoka hospitali ya Muhimbili…
Siku ya tatu baada ya Rais Dk Magufuli kuingia Ikulu na kuanza kazi alifanya ziara za kushtukiza katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwa ni baada ya kumaliza ziara katika…
Joh Makini kaiachia audio ya mdundo wake mpya ‘Don’t Bother’ feat. AKA! – (Audio)
Tarehe 10 November 2015, single mpya ya msanii kutoka Bongo Flevani 'Don't Bother' ya Joh Makini ilitambulishwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa, MTV Base saa…
Manne kutoka kwa Zitto Kabwe leo >>> Rushwa, Urais Z’bar, Rais Magufuli na Dawa za kulevya TZ..
Leo Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na aliyekuwa mgombea Urais wa chama hicho Anna Mghwira wamezungumza na waandishi wa habari ikiwa ni mara ya kwanza tangu kumalizika kwa…
Countdown za Vanessa Mdee anavyosogelea stage ya Tuzo za AFRIMA 2015 Nigeria..
Najua ukitaja list ya mashujaa wa kike ambao wamekuwa kwenye headlines za kuibeba Bongo Fleva kwenye mipaka nje ya Afrika na Dunia, jina la Vanessa Mdee a.k.a 'Vee Money' lazima…
Navy Kenzo nao ndani kwenye tuzo kubwa Nigeria, Top Naija Music Awards 2015!
Ni mwaka wa Watanzania kuzikusanya tuzo mbalimbali kwenye majukwa makubwa ya burudani Africa... Baada ya Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo za AFRIMMA…
Kama umeona picha mbaya kwenye account ya Ray C Instagram, kilichomkuta ni hiki.. (UHeard)
Kumeenea picha mbaya na stori kuhusu Ray C na kilichotokea jana kwenye account yake ya Instagram, leo Soudy Brown kampata na kajibu yote ilivyokuwa. Ray C amesema zile picha ni…
Runtown na Dj Khaled kwenye Album moja?! + mastaa wengine waliowahi kutoa nyimbo na Wamarekani!
Siku hizi biashara ya muziki Africa imekuwa ya ushindani mkubwa sana, wasanii wamewekeza juhudi, muda na hela kubwa kwenye kutengeneza muziki sio tu wa Africa bali muziki utakaopokelewa na dunia…
Pichaz 8 za mapokezi ya Mbwana Samatta kutoka uwanja wa ndege wa JKIA Dar Es Salaam
Headlines za Mbwana Samatta kutwaa kiatu cha dhahabu kwa kuibuka mfungaji bora wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika bado zinazidi kuchukua nafasi, baada ya November 11 kurejea Dar Es…
Masanja Mkandamizaji na maneno yake 16 baada ya kushindwa kura za maoni Ubunge wa Ludewa..
List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni…