Jose Mourinho ametaja sababu za kwa nini hajakata rufaa ya kufungiwa mechi moja na faini …
Klabu ya Chelsea ya Uingereza Jumamosi ya November 7 itasafiri kuifuata Klabu ya Stoke City kucheza mchezo wake wa 11 wa Ligi Kuu Uingereza bila kuwa na kocha wao Jose…
‘Aiyola’ ya Harmonize imefanyiwa video tayari.. zitumie dakika zako 4 kuitazama. (new video)
Harmonize ni mwimbaji mwingine bongoflevani na jina lake lilianza kutajwa sana kwenye radio kutokana na single yake ya 'Aiyola' akiwa ni mmoja wa vijana walioshikwa mkono na Diamond Platnumz na…
Masanja kwenye foleni ya Ubunge Ludewa.. ataacha Komedi? asipopita? viatu vya Marehemu? (+Audio)
Uchaguzi Mkuu Tanzania umekwisha na zile headlines mfululizo kuhusu Siasa zimeanza kupungua pia, lakini hazijaisha... YES !! Bado headlines zitaendelea kutufikia kwa sababu kuna Majimbo ambayo Uchaguzi ulisogezwa mbele baada…
Rais JPM alivyoshtukiza Wizara ya Fedha na kukuta wafanyakazi hawapo !! (Audio)
Kazi imeanza !! Taarifa ikufikie kwamba siku moja baada ya Rais Magufuli kukabidhiwa kiti cha Urais ameanza kazi yake kwa surprise, Rais JPM amekatisha kwa mguu kutoka Ikulu mpaka Wizara…
Zisikupite mechi kali za weekend hii za Ligi Kuu Uingereza na Hispania …
Bado Ligi Kuu Tanzania bara imesimama kwa muda ili kupisha na kuipa nafasi timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria November 14 uwanja wa…
Mume wa Flora Mbasha kakubali kurudiana na mkewe? Hii hapa kwa Soudy Brown.. #UHeard
Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita tangu wawili hawa hawako kwenye ndoa yao, Emmanuel pamoja na Flora Mbasha... vitu vingi vimepita hapo katikati ikiwemo ishu ya kesi za Mahakamani. Ndoa yao…
Bado ni vita na ujangili Tanzania.. utaratibu mwingine kulinda tembo ni huu.. (+Audio)
Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zimeathirika sana na ishu ya ujangili wa wanyamapori… vita imeanzia Afrika na duniani kwa ujumla ambapo jitihada mbalimbali zimefanywa kuhakikisha biashara inayohusisha wanyama…
Barnaba katuletea mrembo mwingine Bongo Flevani… anaitwa Kleyah (Msobe Msobe Feat. Barnaba) #Audio
Staa wa Bongo Fleva, Barnaba ni mmoja ya mastaa wachache ambao ni waandishi wazuri wa nyimbo na ameandika ngoma nyingi sana ambazo zimeimbwa na mastaa wengine kama akina Vee Money,…
Sio mbaya ukaiongeza na hii mpya ya Chris Brown; ‘Sx you back to sleep’ kwenye playlist yako – (Audio).
Baada ya kuweka headlines na single yake ya Liquor Zero na kuonekana kwenye brand new hit single ya Tinashe Player, msanii wa muziki wa R&B Chris Brown amerudi kuziteka headlines…
Mose Iyobo mpenzi wa Aunty Ezekiel na Hekaheka zake.. Ujauzito, kiingereza? (Audio)
Mose Iyobo ni mmoja ya dancers wa Diamond Platnumz... kaalikwa kwenye show ya 'Leo Tena', hapa kapiga story nyingi sana ikiwemo ishu ya tetesi za ujauzito wa Aunty Ezekiel kwamba…