Lil Wayne matatani, polisi walazimika kuvunja nyumba yake ya Miami kwa sababu hizi…
Msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Lil Wayne amejikuta matatani baada ya polisi kuibuka nyumbani kwa msanii huyo na kuzuia baadhi ya mali zake ikiwa ni sehemu ya hukumu iliyotolewa…
Yemi Alade kaisogeza kwako Official Video ya ‘Na Gode’ Feat. Selebobo
Jana hitmaker wa ngoma ya 'Johnny' Yemi Alade alitusogezea pichaza za behind the scene ya ngoma yake mpya ya 'Na Gode'. Tayari staa huyo tayari kaidondosha kwako Official video ya…
Aua wake zake kwa jembe, uchaguzi Z’bar, wizi mtihani wa kidato cha nne…MAGAZETINI Nov.04
MWANANCHI Wagombea wa urais wa Zanzibar wa vyama sita, wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN), Ban Ki Moon kumwomba asaidie kutatua mgogoro wa Zanzibar uliotokana na kufutwa…
Rick Ross na mpenzi wake Lira Galore kuvunja uchumba..!? Sababu?
CEO wa lebo ya Maybach Music Group (MMG) Rick Ross ameingia kwenye headlines za burudani baada ya mtandao wa TMZ Marekani kuripoti kuwa mapenzi na mahaba kati ya rapper huyo…
Tayari #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania leo November 04, 2015 ziko hapa
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
TB Joshua TZ? Marais watakaomshuhudia DK. Magufuli? Mzee Mkapa? Spika wa Bunge TZ?! (Audio)
Good Morning mtu wangu, Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? Kazi yangu siku zote ni kuhakikisha zile zote kubwa za siku zinakufikia, hizi ni baadhi ya stori zilizoguswa kwenye Uchambuzi redioni.…
Majibu ya kwanini Ali Kiba huwa haendi kwenye tuzo? safari ya Marekani na kolabo na Bella.
Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani November 4 2015, kwanini huwa haudhurii matukio ya utolewaji wa…
Warembo wanaopenda kuvaa high heels.. nimemleta Daktari leo kukupa tahadhari mapema!!
Kutana na Dr. Mwaka, daktari Mtanzania ambaye ni bingwa pia wa magonjwa ya Wanawake.... ambapo leo ndani ya hizi dakika 3 anaongea na Warembo wanaopendelea kuvaa viatu virefu maarufu kama…
Wema Sepetu amekua Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja Instagram
Ikiwa ni siku chache baada ya mwimbaji Diamond Platnumz kuwa msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa na wafuasi milioni 1 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, mwigizaji Wema Sepetu…