Magazeti ya Tanzania leo Novemba 4, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Novemba 4, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Juma Abdul wa Yanga na kituko kilichowahi kumtokea miaka kadhaa nyuma
Juma Abdul sio jina geni masikioni mwa wapenda soka wengi Tanzania, hii inatokana na kazi nzuri anayoifanya uwanjani akiwa na klabu yake ya Dar Es Salaam Young African na timu…
Full Time ya Sevilla Vs Manchester City na matokeo ya mechi nyingine za UEFA November 3 (+Pichaz&Video)
Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zimeendelea tena usiku wa November 3 kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja nane kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa. Hizo…
Top 10 ya Rnb ya Trace TV Novemba 3,2015….
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha…
Wema Sepetu kuhusu lipstick zake mpya kayaandika haya…..
Najua ni wachache wanaofanikiwa kukamilisha ndoto au malengo ya maisha yao ya baadae labda kuanzisha biashara ambayo itakua inakupa faida kupitia mtaji wako utakaoanzisha, sasa good news ninayotaka kukupatia ni…
Kama umekosa msaada wa Kisheria Mahakamani, unakaribishwa kwa DC Paul Makonda.. (Audio)
Kuna malalamiko mengi tumekutana nayo kuhusu ishu ya Mahakama au vyombo vingine vya Kisheria kushindwa kutoa utatuzi wa matatizo mbalimbali yanayowapata watu. Kama ulidhani msaada wa Kisheria tatizo lake linaishia…
Rais wa TFF kayasema haya kuhusu hatma ya ZFA na ushiriki wao kimataifa…
Rais wa TFF Jamal Malinzi leo alikua na kikao cha pamoja na wajumbe wengine kutoka ZFA na TFF kuhusu hatma ya ushiriki wa Zanzibar katika mashindano ya kimataifa. Hatua hiyo imekuja baada…
Video: Sababu za Vanessa Mdee kutoa machozi kwenye party ya Wema Sepetu
V Money au Vanessa Mdee alikua miongoni mwa mastaa wa Tanzania walioalikwa kwenye party ya birthday ya Wema Sepetu jumapili ya November 2 2015 lakini ghafla katikati ya party akaanza…
Nelly hajaoa mpaka leo, na hii ndio sababu kubwa ya yeye kubaki bachela..!
Msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Nelly ameingia kwenye headlines za burudani baada ya interview aliyoifanya siku chache zilizopita kwenye moja ya radio shows kubwa New York, Marekani kuweka stori…
TB Joshua wa Nigeria amekuja Tanzania kwa ajili ya Dk. Magufuli.. (Picha 3)
Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam. Zimenifikia picha…