Tinashe anaisambaza rasmi ngoma yake mpya ‘Player’ feat. Chris Brown – (Video)!
Baada ya kuisogeza kwetu behind the scenes ya video yake mpya, msanii wa muziki wa Pop R&B kutoka Marekani, Tinashe ameamua kuidondosha video ya wimbo wake mpya Player feat. Chris…
Hizi ndio stori zilizobebwa na Magazeti 18 ya Tanzania November 03 2015, udaku hardnews+michezo
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne NOVEMBER 03 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Maamuzi mengine ya FA baada ya Jose Mourinho kukutwa na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu…
Hakika huu hauwezi kuwa msimu mbaya tu kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho bali ni mwaka mbaya kwake, Jose Mourinho ambaye kikosi chake huwa akifanyi vizuri kwa mechi…
Huenda ukawa hufahamu, hii ni rekodi ya kuvutia ya Justice Majabvi wa Simba katika historia yake ya soka
Justice Majabvi ni kiungo wa kimataifa wa Zimbabwe ambaye anakipiga katika klabu ya Simba ya Tanzania, kiungo huyo ambaye anakipiga katika klabu ya Simba aliwahi kucheza katika vilabu kadhaa ikiwemo LASK…
Mbwana Samatta katangazwa kuingia katika Top 10 ya wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika 2015, hii ni list kamili
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF huwa linautamaduni wa kutoa Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kila mwaka, kama ambavyo Shirirkisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA…
Ripoti kutoka Mwanza baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko.. (Audio)
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imeingia kwenye vichwa vya habari mara nyingi wakizungumzia kuhusu dalili za kuwepo mvua kubwa za El Nino, mvua zimeanza kunyesha Dar es Salaam na…
Ni Chege na Mafikizolo kwenye headlines South Africa…(+Audio)
Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii ni ya Chege akiwa yuko Afrika Kusini katika maandalizi ya video ya single mpya iitwayo…
Mipango mingine ya CCM na Uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Handeni Tanga…Audio
Kamati kuu ya CCM inaendele na vikao vyake Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wa Taifa Dk. Jakaya Kikwete. Leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Nape Nnauye…
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya November 3 na 4 pamoja na msimamo wa makundi nane
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea tena Jumanne ya November 3 na Jumatano November 4 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Mechi za November 3…
Taylor Swift kafikishwa Mahakamani kwa kuhusishwa na wizi… kinachofuatia?
Msanii wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Taylor Swift anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani baada ya msanii wa muziki wa R&B mwenye jina Jesse Braham kudai kuwa…