Full Time ya Simba Vs Maji Maji FC na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 31
Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea tena leo October 31 kwa wekundu wa Msimbazi Simba kuwakaribisha Maji Maji FC wanalizombe kutokea Ruvuma Songea. Simba ambayo bado inatajwa kuwa hakuna mahusiano mazuri…
Full Time ya Chelsea Vs Liverpool October 31 (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena October 31, kwa michezo kadhaa kupigwa wakati klabu ya Chelsea ya Uingereza iliyochini ya kocha wa kireno Jose Mourinho iliwakaribisha majogoo wa jiji Liverpool…
Ndege imeanguka Egypt na watu zaidi ya 200… chanzo? vifo? hiki ndio kilichonifikia (+Video)
Ni mara chache sana tunakutana na ripoti kuhusu ajali za ndege ukilinganisha na ajali za usafiri mwingine kama magari na meli... hiyo sifa imefanya usafiri wa ndege kupewa namba moja ya…
Kauli ya kwanza ya Dr. Magufuli baada ya ushindi wa Urais na shangwe za Lumumba.. (Video)
Baada ya Rais mteule wa Tanzania, Dr. John Magufuli na Makamu wake Mama Samia Suluhu Hassan kukabidhiwa cheti na Tume ya Uchaguzi NEC, safari ilianza toka Ukumbi wa Diamond Jubilee…
Pichaz 26 za ndani ya Viwanja vya michezo ‘Kidongo Chekundu’ Dar kwenye ubora wake..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Rais Jakaya Kikwete ni kiongozi ambaye kwenye vitu atakavyokumbukwa kwa kuvifanya wakati wote wa uongozi wake ni juhudi zake kwenye…
Rais mteule Dr. Magufuli alivyokabidhiwa cheti baada ya ushindi Dar es Salaam.. #FullVideo
Hii shughuli ilikuwa October 30 2015, ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaam... WanaCCM pamoja na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Kikwete, pamoja na viongozi wengine wa…
Jose Mourinho kurejea Real Madrid? Rais wa zamani wa Real Madrid kaongea haya…
Kwa sasa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho anahusishwa na kutaka kufutwa kazi endapo tu atapoteza mchezo dhidi ya Liverpool licha ya kuwa taarifa hizo sio rasmi.…
Magazeti ya Tanzania leo October 31, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 31, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Fainali ya US Alger Vs TP Mazembe dondoo muhimu za kufahamu, Samatta anaweza weka rekodi hii…
Michuano ya fainali ya klabu Bingwa Afrika inatarajia kufanyika leo October 31 nchini Algeria kwa mchezo wa kwanza wa fainali hiyo kupigwa, huu ni mchezo ambao hisia za watanzania wengi wamezielekeza…
Watu na mbinu zao.. wengine wamenaswa na pombe za kienyeji ndani ya jeneza Kenya.. (Video)
Tumezoea kuona majeneza yakitumika kuhifadhia miili ya Marehemu au watu waliofariki, uliwahi kufikiria kuna mtu anaweza kutumia jeneza kwa biashara zake nyingine ?!! Stori kwenye vichwa vya habari Kenya, jamaa watano…