French Montana na Fetty Wap wanaisogeza kwetu video ya single yao mpya; ‘Freaky’ – (Video)!
French Montana na Fetty Wap wameachia mixtape yao mpya iliyopewa jina Coke Zoo, mixtape inayokuja na nyimbo 13 ndani yake. Miongoni ya wasanii walioshiriki kwenye uandishi na uingizaji wa vocals…
Mkwasa atangaza kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Algeria, ataja majina sita ya wachezaji wapya kikosini….
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inajiandaa kucheza hatua ya pili ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 Urusi. Tanzania ambayo itacheza mchezo wake wa kwanza…
Matokeo ya Urais 2015 kwenye majimbo yote 34 yaliyotangazwa leo October 27 2015, Arusha, Kilimanjaro, Unguja, Tabora, Mbeya na kwengine
Mpaka saa nane mchana wa October 27 2015 ni matokeo ya majimbo 61 yalikua yameshatangazwa kati ya majimbo 264 ambapo matokeo ya majimbo 27 yalitangazwa October 26 2015. TANGA JIMBO…
Beyonce anamchukuliaje Nicki Minaj kimuziki? Anamkubali ama…!? + (Video)
Baada ya kushirikiana kwenye ngoma ya 'Feeling Myself', urafiki kati ya Nicki Minaj na Beyonce umezidi kuchukua sura mpya kadri siku zinavyokwenda. Wiki iliyopita Beyonce maarufu kama Queen Bey na…
Matokeo ya Urais TZ? Zitto Kigoma? Nape na Ubunge? Mwanza yasimama, Zanzibar!? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM unaweza ukawa umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye PowerBreakfast nilizirekodi zote ziko hapa. Maalim Seif ajitangazia ushindi Zanzibar, Mawaziri watano waanguka kwenye Ubunge... CCM, UKAWA wakabana…
Magazeti ya Tanzania leo October 27, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Octoba 27, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Hamu ya kuyajua matokeo ya Ubunge Nyamagana kwa Wenje na Kawe kwa Halima Mdee
Stori mbalimbali za uchaguzi zinaendelea kuchukua headlines kutoka area tofauti za Tanzania ambapo kwa upande wa Ubunge, zilizonifikia usiku huu ni hizi za Mgombea Ubunge Ezekiah Wenye wa Nyamagana Mwanza…
Matokeo mengine kura za Urais 2015, Moshi mjini, Njombe, Tanga na kwengine.
https://www.youtube.com/watch?v=NsXXcECxfEs&feature=youtu.be Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio…
Mawili aliyoyazungumza Edward Lowassa Oct 26, yapate na ya January Makamba pia.
Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa na January Makamba wa CCM wamezungumza kwenye…
Kura za Urais walizopata Lowassa, Dr. Magufuli na wengine Pemba, Katavi, Unguja na majimbo mengine 7
Nakuunganisha na Jaji Damian Lubuva kutoka tume ya taifa ya uchaguzi akitangaza awamu ya pili ya matokeo ya Urais kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi Tanzania bara na visiwani, hii video…