Du!! Kumbe Jose Mourinho anapenda refa aipendelee timu yake, asipoipendelea….
Imekuwa ni kawaida kwa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho kuingia katika headlines kwa kauli zake kadhaa ambazo huzitoa kabla na wakati wa mchezo. Mourinho tabia yake…
Safari ya Comedy ilianzia mbali aisee, unamkumbuka Charlie Chaplin? (Video)
Sura yake sio ngeni sana lakini kwa watu wengi wanaofatilia vituko vya TV kwa sasahivi huenda wasilifahamu sana jina lake, huyu ni mmoja ya mastaa wa zamani wa comedy ambao…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Tyga; “Ice Cream Man” – (Video)!
Msanii wa Hip Hop Marekani, Tyga anaendelea kuzisogeza kwetu videos kutoka kwenye mixtape yake ya F*k Wat They Talkin Bout. Baada ya kuachia Scandal, Clarity na Rap Star, Tyga leo…
Adele anaitambulisha rasmi official video ya mdundo wake mpya; “Hello” – (Video)!
Baada ya ukimya wa miaka minne msanii wa muziki wa Pop, Uingereza, Adele anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Imepita miaka 4 toka adele aachie album yake ya mwisho iliyopewa…
‘Funga Kampeni’ UKAWA na CCM? Ajali ya Mgombea Ubunge.. Mita 200? #StoriKUBWA (Audio)
Kwenye stori kubwa kutoka Magazeti ya Tanzania October 23 2015 ziko hizi chache zilizochambuliwa Redioni Clouds FM kwenye show ya Power Breakfast. Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikusanyiko baada ya…
Magazeti ya Tanzania leo October 23, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 23, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya Liverpool Vs Rubin Kazan October 22 (+Pichaz&Video)
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilichezwa October 20 na 21 lakini Alhamisi ya October 22 iliendelea michezo ya UEFA Europa Ligi ambayo zamani ilikuwa inafahamika kama Uefa ndogo, October 22…
Tamko jipya la madereva baada ya mwenzao kupigwa risasi kisa laki 4…(Pichaz)
Matukio ya watu kupigwa risasi yamekuwa yakichukuwa headlines kubwa hasa kwa Dar es salaam lakini sio mwajiri kumpiga risasi mfanyakazi wake, Sasa hii imekuwa tofauti kidogo ambapo Jumanne ya wiki…
Video 5 za juu kwenye chati ya Urban Trace TV ziko hapa………
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa, usiku…
Bado siku 3….Shauri la kukaa mita 200 baada ya kupiga kura limeendelea leo Mahakama Kuu Dar
Tukiwa bado tuko kwenye headlines za Uchaguzi 2015 stori inayochukua kasi katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ni kuhusiana na wananchi kusimama mita 200 pale wanapomaliza kupiga kura siku…