Ukimwona Mamba kasinzia usidanganyike kabisa, hili ndio pozi lake la mtego !!
Mamba ni mmoja ya wanyama ambao kama ukikutana nao kwenye maji wana mabalaa yao, unaweza ukamchukulia kwamba sio mnyama mwenye mbio sana ukilinganisha na wanyawa wengine kama Simba na Chui,…
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne, JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro katika uwanja wa Karume…
Collabo ya D’Banj na jamaa wa TZ.. Video ya ‘Aiyola’ imekamilika? (#255 Audio)
Kuna mkali mwingine ambaye ni underground kutoka Shinyanga TZ kaingia kwenye headlines kubwa baada ya kufanikiwa kupata connection ya kufanya ngoma na mkali toka Nigeria, D’Banj. Jamaa hana jina kubwa…
Baada ya mashabiki wa Man City kuzomea wimbo wa UEFA, klabu yao kukumbana na adhabu hii…
Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya Sevilla katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad. Kabla ya kuanza kwa mchezo huo…
Sentensi 10 za mke wa Marehemu kuhusu ajali, picha za Marehemu na kifo cha Mchungaji Mtikila..
October 22 2015 ni wiki ya tatu zimepita tangu aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila afariki kwa ajali ya gari ndogo eneo la Msolwa, Chalinze…
Bastian Schweinsteiger kaamua maamuzi haya kwa kampuni ya kichina iliyotengeneza sanamu yake…
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Manchester United ya Uingereza Bastian Schweinsteiger October 22 ameingia katika headlines baada ya mtengenezaji wa midoli wa kichina kutengeneza mdoili unaofanana na yeye…
TBT pichaz za Jose Mourinho, Louis van Gaal, Luis Enrique na Pep Guardiola zipo hapa
Kama ambavyo katika mitandao ya kijamii watu mbalimbali hupenda kuweka TBT pichaz zao siku ya Alhamisi na kujikumbushia wapi walipotokea. Kama kawaida mtu wangu wa nguvu huwa si ruhusu upitwe…
Pale ambapo mtoto mdogo anawekwa kufanya kazi za nyumbani.. #Hekaheka +Audio
Team nzima ya 'Leo Tena' @CloudsFM imekuja na Hekaheka kutoka maeneo ya Tandika ambapo Geah Habib amekutana na stori ya mtoto mdogo ambaye ameletwa toka Mpanda kuja kufanya kazi za…
Meek Mill. Vs. Wale kwenye mitandao ya kijamii, warushiana maneno… kisa?!
Jana rapper kutoka kwenye kundi la Maybach Music Group (MMG) Wale aliitembelea studio ya Power 105.1 kwa ajili ya interview na kipindi cha The Breakfast Club... kwenye interview hiyo Wale…
Khloe Kadarshian afanya maamuzi ya kufuta maombi ya talaka kwa Lamar Odom… sababu?!
Kumekuwa na headlines nyingi baada ya mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Lamar Odom kufikishwa hospitali baada ya kukutwa hoi hajitambui... staa kutoka kwenye reality show ya Keeping up with…