Bado siku 6…..hizi ni picha za bendera za CCM na UKAWA zikiwa zimechukua headlines Dar es Salaam
Kwenye hizi siku chache zilizobaki kabla ya Watanzania kupiga kura, headlines za siasa bado ni nzito kila mahali ambapo kwenye headlines za saa 24 zilizopita hizi ndio picha kutoka Dar es…
Pichaz za mazoezi ya Yanga October 19 kuelekea mchezo dhidi ya Toto African
Klabu ya Dar Es Salaam Young African October 19 imeingia kambini kujiandaa na mchezo wake wa saba wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Toto African ya Mwanza, mchezo ambao…
Mchina na Rekodi zake.. ile kufanana na Obama tu, ukimwalika unamlipa Mil. 3 !!
Unajua kuna watu wanatengeneza pesa nzuri kwa mtaji mdogo tu, wako wanaoingiza pesa kwa Kipaji cha kuigiza sauti tu za watu maarufu.. lakini yuko Mchina pia ambaye anaingiza Mamilioni kwa…
Ni Tanzania tena kwenye ushindi wa tuzo ya mtanzania mwingine California Marekani 2015.
Kutana na Timoth Conrad Kachumia 'Tico', mtanzania ambaye nguvu zake, akili yake na utundu wake siku zote ameuelekeza kwenye utengenezaji wa filamu za Kitanzania akiwa kama 'muongozaji na muandaaji' Timoth…
Black Rhyno on air with Millard Ayo. (Full Interview)
Jina la Black Rhyno lipo kwenye list ya wakali kwenye area ya bongofleva toka time hizo.... pamoja na hayo Rhyno ni mdogo wa legend wa bongofleva Profesa Jay. https://www.youtube.com/watch?v=9HZmZ453ACo Unataka…
Video mpya kutoka kwa yule Roberto wa ‘Amarulah’
Japo ni Roberto ambaye ni raia wa Zambia ameanza mishemishe zake long time na mpaka sasa akiwa na album mbili, Tanzania ilimfahamu kwa kishindo kupitia hit single ya 'Amarulah' ambayo iliingia…
Licha ya kutwaa mataji na kulipwa mshahara mkubwa Man City, jambo hili linamnyima furaha Yaya Toure
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Manchester City ya Uingereza Yaya Toure, October 19 kauli yake imeingia katika vyombo vya habari vingi, kutokana na wengi wao hawakuitarajia,…
Obama na mkewe walivyomwimbia Usher Raymond happy birthday White House (Video)
Hii ilikuwa kama zali tu kwa staa wa R&B Marekani, Usher Raymond ambaye alialikwa ndani ya Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kutoa burudani, birthday yake ikamkuta akiwa humohumo ndani…
Gari ya H Baba kakutwa nayo mtu mwingine, imeuzwa au Mkataba umeisha? U Heard (+Audio)
Soudy Brown aka Gossip Cop bado anaendelea kuzinasa story nyingine mtaani, leo October 19 2015 iliyomfikia inahusu gari ambalo aliwahi kuonekana nalo H Baba, Soudy kalikuta gari kwa mtu mwingine, limenyang'anywa…
Shabiki kwa Barakah Da’ Prince aliyezimia? Mrithi wa Young Killer? BoB na Micharazo kushika Afrika?
Crew ya BoB Micharazo wameridhika na mafanikio ambayo yameonekana kwenye Midundo kadhaa ambayo wamefanya mpaka sasa, lakini unajua mipango yao inayofuatia? 'Nyimbo inayofuatia itakuwa na muonekano wa Kimataifa' >>> hiyo…