Mbunge Deo Filikunjombe na baba yake Jerry Silaa wamefariki kwa ajali ya Helikopta.. #RIP
Kumekuwa na mvutano wa taarifa zinazoripotiwa kuhusu ajali ya Helikopta iliyotokea jioni ya October 15 2015 katika Msitu wa Mbuga ya Selous, pembeni ya Mto Ruaha. Jerry Silaa amepost Ujumbe…
Kundi la Beyonce, Kelly na Michelle; ‘Destiny’s Child’ kurudi na Album mpya, Tour je?!
Imepita miaka 11 toka kundi la Destiny’s Child, linaloundwa na Beyonce Knowles, Kelly Rowland na Michelle Williams liachie album yao ya mwisho mwaka 2004 iliyopewa jina 'Destiny Fulfilled'... leo ni…
Baada ya miaka miwili Anthony Martial karudisha heshima hii Man United…..
Klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa miaka miwili sasa ilikuwa haijawahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi. Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwa sasa imechukuliwa na Anthony…
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA kayazungumza kuhusu idadi ya Wabunge wao, madiwani… (Audio)
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 nakusogezea hii stori kutoka kwa mgombea Urais kupitia chama cha Ukombozi wa Umma, Hasheem Rungwe. Ripota wa millardayo.com alipata nafasi ya kupiga stori…
Kama asingekuwa msanii wa HipHop, unajua Drake angekuwa nani leo?
Rapper kutoka lebo ya Cash Money Records, Drake ni msanii wa vipaji vingi sana... kwanza ana uwezo wa kuimba na kurap kwa wakati mmoja, lakini kitu kingine kuhusu yeye ambacho…
Mengine kuhusu ajali ya mbunge kwenye helikopta, imelipuka? Hali ya Rubani na Mbunge?.. Majibu ya Waziri Nyalandu
Ni stori iliyoanza kuchukua nafasi kubwa sana katika mitandao mbalimbali usiku wa kuamkia October 16 2015 headlines za siasa Tanzania zimetawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka kwenye mbuga ya Wanyama…
Kumbe Italy ukiangalia picha za utupu kazini sio tatizo, kukutwa na bangi je ?!
Kwa Sheria za kazi hapa Tanzania ukikutwa unafanya baadhi ya vitu kama, kuvuta sigara au kunywa pombe ukiwa kazini inaweza kukusababishia matatizo makubwa ikiwemo kufukuzwa kazi... lakini hii kwa wenzetu…
Picha 21 kutoka Mkoa wa Katavi, hizi ni kuanzia Airport mpaka Mtaani …!!
Mkoa wa Katavi ni moja ya Mikoa mipya ambayo ilitangazwa mwaka 2012, huu Mkoa una Wilaya mbili, Wilaya ya Mlele na Mpanda, na ndio Mkoa ambao anatoka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya…
Lowassa na NEC ? Barabara za juu Dar? NEC na Daftari la Wapigakura je? Zote hizi hapa kwenye sauti yake.. #StoriKubwa
Good Morning mtu wangu, ni asubuhi nyingine ambayo siku zote lazima ianze na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, ninazo zote kubwa za leo kutoka kwenye kurasa za magazetini Tanzania. Aliyekuwa…
Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam na Arusha, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam na Arusha ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni…