Cristiano Ronaldo katwaa kiatu cha nne cha dhahabu na kuweka rekodi hii (+Pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ameingia tena katika headlines baada ya kutwaa tuzo nyingine ya ufungaji bora. Cristiano Ronaldo ambaye September…
Huu ndio mchango wa mwisho wa Rais Kikwete katika michezo, kataja sababu zinazokwamisha maendeleo ya michezo Tanzania (+Audio)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ni miongni mwa viongozi wapenda michezo waliowahi kuiongoza Tanzania. Rais Kikwete ambaye kuanzia mwaka 2006 alianza kurudisha morali kwa…
Pichaz 38 kutoka kwenye Uzinduzi wa Mitambo ya Gesi inayozalisha Umeme Kinyerezi Dar
Serikali kupitia TANESCO imekamilisha miradi mitano na inatekeleza miradi mingine saba ya kufua umeme kwa kutumia nishati ya gesi asilia mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara na Lindi.Kiasi cha umeme…
Nimekusogezea Pichaz 12 za Uwanja wa ndege Kigoma, muonekano wa juu mpaka chini…
Usafiri wa Ndege ni moja ya usafiri ambao kwa sasa unazidi kuwa nafuu na pia wa haraka ambao watu wengi hupendelea kuutumia... kwa mfano badala ya kusafiri Dar es salaam…
Balozi Juma Mwapachu amehama Chama cha CCM?? Kilichonifikia ni hiki..
Kuna stori ambayo imesambaa tayari kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja ya Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama CCM... Kuna ukweli wowote? Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha…
Baada ya kutumia pound milioni 250 katika usajili, huu ni msimamo wa Man United katika kujenga timu yao
Klabu ya Manchester United ya Uingereza ni moja kati ya vilabu vilivyotumia fedha nyingi katika dirisha la usajili lililofungwa mwezi August 2015. Toka kocha Louis van Gaal ajiunge na klabu ya…
Wajue warembo 15 waliowahi kuwa kwenye uhusiano na staa wa movie ya Titanic DiCaprio…Pichaz
Jina la Leonardo DiCaprio si geni kwa mashabiki wanaopenda kuangalia movie, ni kati ya waigizaji wakubwa kwenye industry hiyo. Mbali ya kipaji chake cha kuigiza pia mashabiki wake wanamfahamu kama…
Baada ya ‘Straight Outta Compton’, Dr. Dre sasa hivi anafikiria kufanya nini?
Baada ya kuweka headlines nyingi na movie ya 'Straight Outta Compton', Dr. Dre amekuwa akifikiria vitu vingi sana, je Dr. Dre ana mipango gani kimuziki sasa hivi? Kama wewe ni…
Ninazo pichaz za Floyd Mayweather akienjoy na rafiki zake Miami
Bondia mwenye rekodi ya kutopigwa Floyd Mayweather bado anaendelea kufanya matanuzi ya mkwanja wake aliyovuna katika mchezo wa ngumi. Floyd Mayweather ambaye mwezi September alimpiga kwa point bondia Andre Berto pambano lililofanyika katika…
Mgogoro wa kundi la Central Zone..Moni kazungumzia chanzo cha ugomvi!!#Uheard Audio
Jana Soudy Brown alipiiga stori na msanii Kona baada ya kutokea kutoelewana hadi kufikia kupigana na msanii mwenzake Moni, chanzo ni baada ya meneja wao kutaka wimbo walioimba kama kundi…