Magazeti ya Tanzania Octoba 12, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Octoba 12, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Licha ya kuwa busy wiki hii, Wayne Rooney alitenga muda wa kuenjoy na watoto wake (+Pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney ambaye kwa hivi karibuni alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uingereza sambamba na tukio…
Licha ya kuitoa timu ya taifa ya Malawi huu ni mtihani kwa Taifa Stars..
Timu ya taifa ya Tanzania inayofundishwa na kocha Charles Boniface Mkwasa akisadiana na Hemed Morocco wamefanikiwa kusonga mbele katika harakati za mechi za awali za kuwania kufuzu michuano ya Kombe la…
Kabla ya Pedro kujiunga na Chelsea Daniel Alves alimshauri jambo hili…
Bado uhamisho wa mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona ya Hispania na timu ya taifa ya Hispania Pedro Rodriguez kujiunga na Chelsea unaendelea kuwaumiza wachezaji wenzake wa zamani, baada ya…
Neymar kaendelea kuitumikia adhabu yake huku akila bata na marafiki zake (+Pichaz)
Huenda ukawa unajiuliza Neymar atakuwa wapi katika mapumziko haya mafupi kwa Ligi mbalimbali duniani, baada ya kutojumuishwa katika kikosi cha Brazil kutokana na kuendelea kutumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyoipata katika michuano…
Pichaz za mkutano wa Yusuph Manji akiomba kura za udiwani Mbagala
Headlines za majina ya watu maarufu kuingia katika siasa na watu kutoka katika tasnia tofauti tofauti imekuwa kawaida kwa mwaka 2015. October 11 uwanja wa Mbagala Zakhem mwenyekiti wa klabu ya…
Kanye West ana vituko sana… kaamua kufanya haya kwenye shindano la American Idol!
Kwa wenzetu wa Marekani kipindi hiki ni msimu wa shindano kubwa la kusaka vipaji, American Idol... kwa sasa bado usaili unaendelea, watu wengi wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kuchukua namba zao…
Baada ya Future na Drake, sasa French Montana na Fetty Wap kuja na mixtape yao!
Baada ya Future na Drake kufanya kazi kwa pamoja na kuachia mixtape iliyopewa jina 'What A Time To Be Alive', wasanii wengine wa Hip Hop wameona sio mbaya wakifuata ramani…
Kanye West ameamua kutoa zawadi hii kwa Rais Barack Obama…!
Baada ya Rais wa Marekani, Barack Obama kumpatia Kanye West dondoo za namna ya kuwa Rais, wawili hao mida hii walikuwa jijini San Francisco kwa ajili ya kushiriki kikamilifu kwenye…
Mastaa wanaopenda kutumia muda mwingi na watoto wao…Pichaz
Mastaa mbalimbali licha ya ubusy wa kazi zao za kila siku lakini kuna ambao wamekuwa karibu zaidi na watoto wao na mara nyingi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi…