Pichaz Rais JK alivyosherehekea Birthday na Wajukuu zake… (+Pichaz)
Happy Belated Birthday Mr. President, Dk. J.M Kikwete !! Kama ilikupita basi naomba nikufikishie taarifa kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Kikwete jana October 07 2015 ndio…
Masaa machache baada ya kusimamishwa..huyu ndiye kiongozi mpya wa FIFA!!
Masaa machache baada ya Rais wa FIFA Sepp Blatter kusimamishwa kuliongoza shirikisho hilo, kiongozi wa shirikisho la soka Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho hilo kwa…
Kwenye beef ya Meek Mill & Drake, Rick Ross yupo upande wa Meek Mill, kwanini? + (Video).
Rick Ross ameitembelea tena studio ya Power 105.1 Radio lakini safari hii ilikuwa kwa ajili ya interview na mmoja kati ya presenters wakubwa wa radio Marekani, Angie Martinez... Kwenye interview…
Magereza yamejaa Marekani.. Hawa ndio wafungwa ambao imebidi waachiwe huru..!!
Idara inayohusika na Masuala ya Sheria Marekani iko kwenye mpango wa kurekebisha Sheria pamoja na kuwaachia huru wafungwa 6,000 baada ya Magereza mengi ya nchi hiyo kuonekana yamefurika Wafungwa kwa…
Inakuaje pale unaposafiri na ndege inayovuja? hii imetokea Nigeria..Video
Utajisikiaje pale unapoamini usafiri wa ndege uliougharamia utakufikisha salama sehemu unayokwenda lakini ukaishia kusafiri kwa kero kutokana na huduma zake? Abiria wa ndege moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Abuja kwenda Ilorin Nigeria…
Rapper Chemical kaiba jina la Sister P? wote wamesikika kwa Soudy Brown..#Uheard Audio
Leo Soudy Brown kapiga stori na Sister P, Ni kuhusu malalamiko ya jina lake 'Chemical' kutumiwa na rapper mpyaambaye naye anajiita Chemical . Amesema alianza kutumia ilo jina tangu mwaka 2003 na alipewa na…
Idris kuja na reality show, designer wa wasanii katapeliwa? ngoma ya ‘Vizavizabina’ je?..#255 Audio
Idris Sultan amejipanga kufanya reality show katika kiwanda kikubwa cha burudani duniani Hollywood..Kwenye 255 leo Idris kasema tayari show zake mbili zimekamilika ambazo kuna channel kadhaa zitakuwa zikionyesha..amesema itakuwa kama show ya…
Leo nimekusogezea TBT za mastaa wa ngumi duniani..Pichaz
Kila Alhamis nimekuwa nikikuletea picha za zamani za mastaa mbalimbali duniani maarufu kama TBT 'ThrowbackThursday'. Leo nakusogezea TBT za mastaa wa ngumi duniani. …
Sekunde 90 za kushuhudia Laptop ya kwanza ya Microsoft kwenye muundo wa pekee kabisa… (Pichaz & Video)
Kwa sababu kila mtu anahitaji kuwa na kifaa kizuri cha Mawasiliano, nimeona kuna umuhimu pia uipate na hii mpyampya kutoka Kampuni ya Kampuni ya Microsoft, Marekani. Microsoft ni kampuni ambayo…
Historia ya ugonjwa wa dada huyu na maombi yake kwa Watanzania..#Hekaheka Audio
Kwenye Hekaheka ya leo inahusu stori ya dada Glory Swai ambaye anaishi Posta,Dar es salaam.. ana matatizo ambayo anahitaji msaada wako ili aweze kwenda India kutibiwa. Geah Habib alifika nyumbani…