Mabadiliko mengine ya Miss Tanzania 2016 yametangazwa..
Mrembo Jokate Mwegelo aliteuliwa kuwa msemaji ramsi wa shindano la Miss Tanzania baada ya shindano hilo kupewa msamaha na BASATA baada ya kufungiwa toka mwishoni mwa mwaka 2014. Kubwa ambalo…
Dk. Kigoda hajafariki… Mwamunyange hajapewa sumu, haya ndio majibu ya Serikali… (Audio)
Kama utakuwa mfuatilia hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoenea na kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ile ya Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda kufariki na ile ya …
Rick Ross anaisambaza rasmi single yake mpya ‘Sorry’ feat. Chris Brown – (Audio)!
Baada ya kufanya interview na The Breakfast Club leo, rapper Rick Ross ameachia single yake mpya 'Sorry' ambayo ndani msanii wa R&B Chris Brown ameshirikishwa, wimbo utakaopatikana kwenye album mpya…
Huyu ndio mtoto aliyezaliwa na kuvunja rekodi ya kuwa na uzito mkubwa zaidi India..
Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi iliwekwa mwaka 1955 na mtoto ambaye alizaliwa akiwa na uzito…
Haya ni mambo 3 mapya aliozungumza Rick Ross kwenye interview yake ya leo! + (Video).
CEO kutoka lebo ya Mayback Music Group (MMG) Rick Ross aliweka headlines nyingi sana siku chache zilizopita baada ya taarifa kusambaa kuwa rapper huyo ana mchumba ambaye very soon atamuoa,…
Lionel Messi amenusurika Mahakamani, baba yake ataikwepa miezi 18 jela?
Unaikumbuka ile kesi ya Lionel Messi na baba yake mzazi Jorge Messi kutuhumiwa kukwepa kodi? basi stori kutoka mtandao wa the42.ie kuhusu muendelezo wa kesi hiyo unaeleza kuwa waendesha mashitaka nchini Hispania wameona Lionel…
Du!! Samir Nasri ana msimamo huu kuhusu timu yake ya taifa hata kama baba yake angekuwa kocha…
Wachezaji wengi wa soka duniani hupenda kuona wakiitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya nchi zao hususani katika michuano mikubwa kama Kombe la Dunia na michuano mingine ambayo itawapa…
Kitu kipyakipya kutoka Nigeria… Waje Feat. Patoranking- ‘Left For Good’ (+Video)
Wiki iliyopita Waje aliachia behind the scenes ya video ya ngoma yake mpya 'Left For Good' akiwa na hitmaker wa 'My woman, My everything' Patoranking, leo tayari video ya ngoma hiyo…
Kipande cha pili Trailer ya movie ‘Road To Yesterday’ ya Genevieve Nnaji hiki hapa…. +Video
Wiki iliyopita Pruducers wa filamu ya 'Road To Yesterday' aliweka trailer ya kipande cha kwanza cha filamu hiyo ambayo amecheza staa wa Nollywood Genevieve Nnaji akiigiza kama mke na mama wa…
Siku moja kabla ya mechi TFF yatangaza maamuzi haya kwa kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa (+Audio)
Siku moja kabla ya kuchezwa kwa mechi ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Malawi, shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF lilitoa nafasi kwa makocha wa timu zote…