Hii ni nyingine mpya ya Bow Wow; ‘Too Real’ – (Audio)!
Baada ya kutangaza kujiunga na management ya Bad Boy Entertainment iliyopo chini ya P Diddy, msanii wa HipHop Marekani, Bow Wow hajapoteza sana muda... mara ya mwisho kumsikia Bow Wow…
Magazeti ya Tanzania Octoba 6, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Octoba 6, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Baada ya kuwasili Ureno Cristiano Ronaldo kazindua brand ya viatu vyake (+Pichaz)
Licha ya picha zake za awali kumuonesha Cristiano Ronaldo akiwa katika ndege kuelekea Ureno kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ureno, Ronaldo hakuishia kuungana na timu pekee kwani…
Ninayo taarifa kutoka jeshi la polisi kuhusu mauaji ya Afisa Polisi Dar es Salaam…..
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar esa salaam imetangaza kuwakamatwa majambazi sugu sita walioshiriki katika mauaji ya ASP Elibariki Pallangyo huko nyumbani kwake Temeke tarehe 04.08.2015. 'Watu sita wanashikiliiwa…
Pichaz za Ronaldo akiwa katika ndege binafsi akielekea kujiunga na timu yake ya taifa…
Ikiwa ni mapumziko mafupi ya Ligi Kuu mbalimbali duniani ili kupisha michezo kadha ya timu za taifa iliyo katika kalenda za FIFA, Real Madrid ya Hispania ilimaliza mechi yake ya…
Mambo matano ya kuyafahamu kuhusu Kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila .. (RIP)
October 05 2015 ni siku ya pili inaisha tangu litokee tukio la ajali ya gari ndogo katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze Mkoa wa Pwani ambapo ndani yake kulikuwa na watu…
Kumbe Marekani tatizo la watu kudownload muziki kinyume na Sheria bado ni kubwa sana tu!
Licha ya Marekani kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuwa na Sheria kali zinazodhibiti kudownload nyimbo kinyume na utaratibu uliowekwa, sources nyingi zinazotoa huduma ya kustream na kudownload muziki kama…
Hamis Kiiza kaingia katika historia ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Simba kutwaa tuzo hii (+Pichaz)
Mwishoni mwa mwezi September klabu ya Simba ilitangaza mfumo mpya kwa klabu za Tanzania lengo likiwa ni kuinua morali kwa wachezaji wake na kujenga hali za kujituma kwa kuanzisha tuzo…
Dej Loaf anaisambaza rasmi official video ya ‘Back Up’ feat. Big Sean. – (Video)!
Rapper chipukizi ambaye amekuwa akiweka headlines nyingi sana nchini Marekani, Dej Loaf amerudi kuziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Baada ya kurudi kutoka kwenye tour na first kady…
Baada ya kufutwa kazi Brendan Rodgers aondoka Liverpool, huyu ndio anatajwa kuwa mrithi wake (+Pichaz)
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers kwa mara ya kwanza ameoneka hadharani na familia yake October 5, ikiwa ni siku moja imepita toka afukuzwe kazi katika klabu ya…