Di’ Ja kaja na ‘Falling For You’ ndani kamshirikisha Patoranking…Video
Mwanamuziki Di'Ja kutoka Mavin Records tayari kaachia video ya ngoma yake mpya Falling For You ndani akiwa kamshirikisha Patoranking. Karibu uitazame Video yake mtu wangu. https://www.youtube.com/watch?v=Khnk9Rduugg&hd=1 Unataka kutumiwa…
BREAKING: Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amefariki.
Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam. Taarifa zilizotufikia kupitia kwa kamanda wa…
Magazeti ya Tanzania Octoba 4, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Octoba 4, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote…
Kwenye hesabu ya #Instagram wiki hii… hizi ndio picha 17 bora za wasanii na matukio! (Pichaz).
Wiki hii kwenye matukio ya picha Instagram, Kanye West alionekana na Vic Mensa kwenye tamasha la Summer Ends Music Festival, Nas alionekana akipokea tuzo kutoka Chuo cha Havard, rapper Rick…
Haya ni mambo mengine 10 usiyoyajua kuhusu Kanye West… (+Pichaz)!
Rapper Kanye West ni miongoni wa wasanii wa kubwa wa karne ya 21, pia ni mume wa mmoja wa mastaa wakubwa sana duniani Kim Kadarshian... camera na waandishi wa habari…
Ukali wa Jose Mourinho haukusaidia Chelsea kupata ushindi, haya ni matokeo ya mechi yao dhidi ya Southampton (+Pichaz&Video)
Licha ya kusifika kuwa na uwezo wa kucheza na akili za wachezaji na makocha wa timu pinzani, kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ameshindwa kuifanya klabu yake ibaki na…
FC Barcelona hali mbaya, Full Time vs Sevilla ninayo hapa kwenye pichaz & video
Bado ni ngumu kutabiri matokeo ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali duniani, kutokana na vilabu vingi kuwa vimejiandaa kiasi kwamba zile timu ambazo tunaziona kuwa bora kuliko nyingine huwa zinapoteza…
Justin Beiber atangaza ujio na jina la Album yake mpya…
Zimepita wiki chache toka Justin Bieber aachie ngoma yake mpya 'What Do You Mean' wimbo ambao kwa wiki chache tu umeweza kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard Hot…
Madai ya Mikataba ya Madereva, Mishahara, Rushwa barabarani imepata Majibu haya kwa Rais JK.. (+Pichaz)
Uzito wa Matukio mfululizo ya Migomo wa Madereva sio kitu kidogo, kila mtu aliathirika kwa upande wake... haikuwa kitu ambacho Serikali ilikiacha kikaendelea. Kulikuwa na madai mengi ambayo Madereva walihitaji Serikali…
Kama yalikupita matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara mtu wangu yapo hapa (+Pichaz)
Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara ziliendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, licha ya kuwa kuna mechi tatu ambazo zimeharishwa kutokana na wachezaji wake…