Magazeti ya Tanzania Octoba 3, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 3, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania ya mechi za October 3 na 4 ipo hapa mtu wangu..
Najua mtu wangu wa nguvu ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu…
List ya wachezaji wanaowania Ballon d’or 2015 imevuja? haya ndio majina 59 ya wachezaji wanaotajwa…
Hii ni moja kati ya stori kubwa zilizoingia katika headlines October 2 katika vyombo vingi vya habari za michezo duniani, stori kutoka katika mtandao wa 90min.com umeripoti kuvuja kwa majina…
Daktari wa zamani wa Chelsea ameshangazwa na maamuzi ya FA juu ya kesi yake na Jose Mourinho …
Kati kati ya mwezi September kulikuwa na stori kuwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho huenda akafungiwa na shirikisho la mpira wa miguu Uingereza FA kutokana na kitendo cha…
Will Smith amerudi kwenye muziki mtu wangu na remix ya ‘Fiesta’ – (Audio)!
Imepita miaka kumi toka Will Smith atoe wimbo na kwa miaka mingi Will Smith amekuwa akisika akisema kwenye interviews nyingi kuwa anatamani sana kurudi kwenye game ya HipHop lakini hajui…
Mtoto alizaliwa bila sehemu ya kichwa na Ubongo, madaktari nao walikata tamaa lakini katimiza mwaka.. +Video
Jaxon Buell alizaliwa August 27 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo. Madaktari waliligundua tatizo la huyu mtoto tangu kipindi ambacho bado hajazaliwa,…
Pichaz za Sherehe ya Cristiano Ronaldo baada ya kuvunja Rekodi ya magoli Real Madrid..
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa October 1 amefanyiwa sherehe Santiago Bernabeu ya kusherehekea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa…
Kabla ya kujaribu bahati yake kwa Lil Wayne, Drake aliomba asimamiwe na staa huyu…
Mkurugenzi wa Konvict Muzik na lebo ya KonLive, Akon anajulikana kwa kuwatoa kimuziki wasanii wakubwa Marekani baadhi wakiwa T-Pain na Lady Gaga ambao uwezo wao dunia nzima inashuhudia... lakini ulikuwa…
Cheki na pozi la watu wanavyoenjoy kucheki Movie kali nje ya Majumba ya Cinema… +Pichaz
Ukiwa maeneo kama ya Mwanza au Dar es Salaam kuna maeneo ambayo huwa zinaoneshwa movie kali kabisa na mpya mpya.. kila Ijumaa huwa naiweka ratiba ya Movie kwa maeneo ya Mlimani…
Uamuzi wa Tanzania bara kuhusu michuano ya Challenge itakayofanyika Ethiopia November 2015
Michuano ya timu za taifa za Ukanda wa Afrika Mashariki Kati (CECAFA) ambayo wengi tumeizoea kwa jina la michuano ya Challenge inatarajia kuanza kufanyika November 21 hadi December 6 2015…