Baada ya uchunguzi kufanyika, huu ni muda ambao Lionel Messi atakuwa nje ya Uwanja (+Pichaz&Video)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi ameingia katika headlines baada ya kushindwa kuendelea na mechi dhidi ya Las Palmas. Lionel Messi alilazimika kufanyiwa…
Mbowe alivyosindikizwa na Lowassa, Mbatia kwenye uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la HAI.. (+Pichaz)
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 zimeendelea Tanzania, leo nakusogezea hii kutoka Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro.. Mbunge anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amefika leo Jimboni kwake na kuzindua Kampeni…
Newcastle United Vs Chelsea pichaz na video ya magoli ninayo hapa…
Bado mechi za Ligi Kuu Uingereza zinaendelea weekend hii, Jumamosi ya September 26 zilichezwa mechi kadhaa ila moja kati ya hiyo ni mechi kati ya Newcastle United dhidi ya Chelsea mechi…
Matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga yapo hapa pamoja na mechi nyingine za Ligi Kuu Sept 26 (+Pichaz)
Jumamosi ya September 26 ni siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki na wapenzi wa soka Tanzania, kwani ndio siku ambayo tumepata nafasi ya kuona mechi ya kihistoria ya watani…
Aliwatukana polisi kupitia page yao ya Facebook… kilichofuata kijue hapa!
Kila nchi ina sheria zake, Sheria za Tanzania sio lazima ziwe Sheria kwenye nchi nyingine, ukweli huo ni sawa hata kwa baadhi ya vitendo... kwa mfano kutukana polisi Tanzania ni…
Fulltime: Manchester City vs Tottenham Hotspur (Pichaz+wafungaji)
Ligi kuu ya Uingereza Barclays Premier League imeendelea tena jumamosi ya leo tarehe 29, September - mchezo wa kwanza siku ya leo umewakutanisha Manchester City dhidi ya Tottenham Hotspur. Mchezo…
‘Men In Black’ bila Will Smith itakuaje, ni kweli Will Smith hatoigiza kwenye Men In Black 4!?
Kama vile ilivyo brand ya movie ya Bad Boys, movie za Men In Black haziwezi kuongelewa bila kumtaja staa wake Will Smith na kama ulikuwa hujui basi taarifa ikufikie kuwa…
Kabla ya mechi ya Simba Vs Yanga! kutana na Line up na picha za wanavyoingia taifa
Baada ya kujichimbia visiwani Zanzibar kwa klabu za Simba na Yanga kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi yao, naomba nikusogezee list ya vikosi vya timu hizo vinavyotarajia kuanza pamoja…
Kumbe ikitokea free-kick, Neymar anawaza goli tu ..!! Messi anamchukulia poa? Jibu ni hili..
Staa wa Soka Neymar da Silva Santos Júnior ni mkali ambaye anakamilisha kikosi cha watatu wakali wa Barcelona, yani hapo yuko yeye Luis Suárez na Lionel Messi. Kwenye Timu inaweza…
Hii ni kwa wale mashabiki wa Adele, tarehe ya uzinduzi wa Album yake mpya imenifikia!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu kurudi kwa msanii wa Pop wa Uingereza, Adele kwenye game ya muziki... kama unakumbuka wiki chache zilizopita nilikupa taarifa kuwa msanii huyo amesogeza mbele tarehe…