Hawa mastaa nao wamepitia magumu sana, wengine walifungwa mpaka Gerezani.. (Pichaz)
Maisha ya Mastaa Behind the Scenes kuna vitu vingi sana huwa nje havijulikani, lakini ukiangalia tu kwamba wao ni binadamu basi ni lazima kuna time wanakutana na mambo magumu na…
50 Cent anaenda tena Mahakamani, time hii anamshtaki mshauri wake kabisa!
Kwenye matukio makubwa ya 50 Cent mwaka huu hatuwezi kuacha kulitaja tukio la yeye kutangaza kufilisika... mengi sana yamesemwa juu ya kitendo hicho lakini mpaka sasa rapper 50 Cent bado…
Mazoezi ya kunyanyua vyuma yapelekea kifo cha kijana huyu baada ya moyo wake kupasuka…
Imekuwa kawaida kwa vijana wengi siku hizi kupenda kunyanyua vyuma ili kujenga mwili wenye misuli mikubwa na muonekano mzuri. Utamaduni wa kubeba vitu vizito ili kujenga mwili wenye muonekano flani…
Time ya kujionea mbwa nao wakiwa kwenye nyumba zao mtu wangu.. Pichaz &Video
Mara nyingi ukiona Family za Wazungu, utamaduni wao ni kwamba kuna baadhi ya wanyama ambao nao wanawahesabia kama sehemu ya Familia zao, na baada ya wanyama hao ni mbwa na…
Nicki Minaj na Meek Mill ni wapenzi… je mama yake Nicki anauonaje uhusiano wao?
Nicki Minaj ametoka kumaliza tour yake ya The Pinkprint Tour Marekani siku chache zilizopita na kote huko alikuwa anatembea na mpenzi wake Meek Mill... Siku chache zilizopita Nicki na Meek Mill…
Baada ya stori nyingi kuhusu Ndoa ya Arsene Wenger kuvunjika, haya mengine yameandikwa leo
Baada ya zile tetesi za muda mrefu kuhusiana na kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger kutokuwa na maelewano mazuri na mkewe Annie, stori kutoka mtandao wa mirror.co.uk umethibitisha kutengana kwao,…
Kutoka Makao Makuu ya CCM Dar, majibu yametolewa.. Magufuli na Mdahalo? Utafiti wa TWAWEZA?
Kutokana na ukubwa wa Tukio la Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania siku ya Jumapili October 25 2015, stori zinazohusu Siasa zinakuja kila siku…
Nuh Mziwanda katelekeza msichana Guest? Stori kwenye #UHeard na Soudy Brown.. (Audio)
Kama kawaida ya Soudy Brown amekuwa akituletea tetesi za mastaa mbalimbali zinazohusiana na matukio mbalimbali wanayokutana nayo..leo ni Nuh Mziwanda..Kuna dada kampigia simu akilalamika Nuh kumdhalilisha mdogo wake kwa kumuacha…
Yemi Alade tayari katusogezea video yake mpya ya ‘Sugar’….
Jana hitmaker wa mdundo wa 'Johnny' Yemi Alade alitusogezea Pichaz za behind the scenes ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Sugar'. Leo staa huyo tayari katusogezea video ya ngoma yake hiyo mtu wangu..Video…
Ben Pol kaitema lebo yake? Uvamizi wa Kwetu Studio je?, Mb Dog kaja na documentary yake..#255
Ben Pol alikuwa akisimamiwa na kampuni ya Pan Music lakini, leo amefunguka na kusema amesitisha huduma na kampuni hiyo..aliongea nao wakazungumza kwa kipindi walichofanya kazi na akaomba kuandika barua ya…